BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
inaonyesha bronze members ni wabana matumizi wa uhakika.
kumbe ndo maana mmepata hela ya kulipia, na mimi naanza kubana
next week.
Mi naogopa kutaja! BT anaweza kuniroga!
Na hivi leo mwenyewe kajinadi kua zamani alikua mama la kamati ! Mimi gopa yeye!
cha jioni sijajua naomba m Pm Amyner akwambie kaniandalia nini
Leo ntakula Nyama Choma ya Ng'ombe kwa Ugalikakuandalia glasi ya maji.......
Leo ntakula Nyama Choma ya Ng'ombe kwa Ugali
Heheheheheeeeejamani una raha mie hata chai sijanywa...loh
Ukila saa ikifika saa sita tu njaa kali siunajua nafidia nguvu za Usikunikaribie wapi sasa? heri nikatafute kitafunwa....
saaa hizi wapi nitapata ugali?
maani nikishakula mida hii ndo ishatoka hiyo...
Ukila saa ikifika saa sita tu njaa kali siunajua nafidia nguvu za Usiku
Lol kama huwa unategea lazma uamke na umeshiba ila kwa wanaojituma wanaamka na bonge la njaa
Hahahahhahaaaaaaaa ntakunywa Nyagi ifeutakuwa na minyoo wewe... hakuna lolote
Leo nna kila dalili ya kupiga dash!
utakuwa na minyoo wewe... hakuna lolote
Leo nna kila dalili ya kupiga dash!
inaitwa ni chango siyo minyoo.
Baba yako Mtambuzi anakula na mama zenu wadogo
hapa hotelini kwangu watoto wanapiga dash,
huyu mzee sijui hata nimfanyeje jamani lol.