Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,360
- 91,912
Dogo anaumwa,nina hamu kwani....Hamu zako za leo na zitimie...
Mdomo tu unaongea
Dogo anaumwa,nina hamu kwani....Hamu zako za leo na zitimie...
Pole sana aisee ndiyo umama huo...Dogo anaumwa,nina hamu kwani....
Mdomo tu unaongea
Wala....Kila inayopita unaitaka kijana
Watu kama nyie sinaga imani nao kabisa kwenye hayo mamboNitaacha pale mola atakapochukua hii miguvu ya kiume aliyonizidishia.
Urijali huu umenizidia.
Tatizo sijui kuchukia... Unachukiaga wewe kwa nini sichukii...🤣Na utafurahi🤒
Namsisitiza ajali afya yake magonjwa mengi siku hizihaha unamuonea wivu
Kwa niniWatu kama nyie sinaga imani nao kabisa kwenye hayo mambo
Yeah sure, natamani kuishi miaka mingi sana bila maradhi Wala changamoto za kunizidi uwezo wa kuzitatua... sijui nitatimiza ndoto zangu😔😓Pole sana aisee ndiyo umama huo...
Hiyo miguvu itumie vizuri, tumia kinga au pima afya mara kwa mara na wenzi wako, yangu ni hayoKwa nini
Endapo utaacha kua na joto la kudinywa Kila mara yes ndoto zako zitatimia...Yeah sure, natamani kuishi miaka mingi sana bila maradhi Wala changamoto za kunizidi uwezo wa kuzitatua... sijui nitatimiza ndoto zangu😔😓
Pole kwa kutoa code...🤣🤣🤣 Namsihi akupuuze
🐖🐖Usituharibie Eid dada.
Kesho si Holy day au ?mwezi wa nini tena mkuu?