Leo una hamu ya nini?

Leo una hamu ya nini?

Screenshot_2025-06-11-14-18-23-387_com.google.android.apps.photosgo~2.jpg
 
ongeza tajiri wa JF papaa Tajiri Sina BAYA mutu ya pesa anakuja kulipa akiwa ndani ya Cadillac Escalade na watoto wazuri kina Mama Ndege. Ongeza vitu kula bia kula biaa.
😂😂😂 ifike hatua sasa jf iwe inatoa Kadi maalumu kwa wanachama wake hii itanisaidia sana kwani nitakuwa natangaza nchi nzima kwamba mtu akiingia na Kadi ya Jf bar apewe kila kitu, malipo itakuwa ni juu yangu Tajiri Sina BAYA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom