SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 4,800
- 8,989
Kusex kiswahili kujaamianaKwema, salamu zisiwe nyingi.
Twende kazi una hamu ya kitu gani leo?
Kusex kiswahili kujaamianaKwema, salamu zisiwe nyingi.
Twende kazi una hamu ya kitu gani leo?
Inasikitisha sana jirani unaposhindwa kuniambia kinachokusibuWe mtu mzima ushanisoma jirani yangu.
Jirani yangu jirani yangu tumezoeana mlango wangu mlango wake inatazamana, we jirani rafiki yangu ushanisoma...
Chumba kipo wazi jirani😀 inasikitisha unafunga chumba chako nisiingie
Shemeji yupo mbali kwani?Kusex kiswahili kujaamiana
Umekuwa TomasoSiamini bado 🙂
Napenda ila sijuagi nimekosa trainerUnajua kucheza kumbe!
Huyu wa kwenye bible aliyemwambia Yesu amuonyeshe alama za misumariNdio nani huyo hapo Dar
Huwa naangalia ila mwili umegomi kwenda sawa na stepAngalia hata video za yuchubu jirani
Sana yupo ChinaShemeji yupo mbali kwani?