Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,840
Kwani katiba ya nchi yetu inaruhusu mgombea huru!haha kasema maendeleo hayana chama hivyo atakuwa mgombea huru.
Kwani katiba ya nchi yetu inaruhusu mgombea huru!haha kasema maendeleo hayana chama hivyo atakuwa mgombea huru.
Sawa.Bado sijaipitia tajiri ngoja wataalam waje kutupa mwongozo!
Demu cheupe shepu no 8Kwema, salamu zisiwe nyingi.
Twende kazi una hamu ya kitu gani leo?
Hahahahaha#KataaUgali wasione hii comment!
nilisoma vibaya nikajua umeandika ATEBAYa kwenda Ethiopia kumchukua mchumba wangu abeba
Ulichoongea ni kweli ila me nilifanya matani tu kwakeJf
Unaweza kuona mzaha kumbe mtu yuko kweli Ethiopia
Na Hilo baridi? Mtalia woteeFanta orange ya baridi..
Nikikohoa utanipea tangawiziNa Hilo baridi? Mtalia wotee
Nitampa mtoto we mkubwa lolote Liwe juu yako ndugu yanguNikikohoa utanipea tangawizi
Apia.. kama kweli lolote linipateNitampa mtoto we mkubwa lolote Liwe juu yako ndugu yangu
Kuapia nini wewe ..😁😁😁😁Apia.. kama kweli lolote linipate
Dah!😃😃 ni abebanilisoma vibaya nikajua umeandika ATEBA