Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 2,696
- 6,230
Sina helaoh! Lovely pika sasa tuje kula
🙂
Sina helaoh! Lovely pika sasa tuje kula
🙂
Hata mimi ninayo hii hamuhamu ya kumtoa CCM madarakan
Hee Binti Sayunii hebu ona mtu wako.Leo nina hamu ya kupiga kelele saaaaanaaaaaa
"""I love mama samia. Nakupenda sana mama samiaaaaaaa
Mama samia wewe uishi miaka buku mama angu... Mama samia kwa hii asilimia mia aiseee nasemaje mama uishi sana.. mama mwanao naweza kwenda jeshi naomba uwambie wasitusurubu jamni """""
Vyakula vya kisukuma hivyoLeo na hamu ya maziwa mgando+viazi vya kukaanga.
Huyu ndiyo boss wa YAKUZ 😁😁😁Hee Binti Sayunii hebu ona mtu wako.
Aka tatianaHuyu ndiyo boss wa YAKUZ 😁😁😁
Sijakuelewa mkuuAka tatiana
Ile yakuz nini.....isome upya taratbuuuuu, between the linez....rejeoSijakuelewa mkuu
Naona umevamia ujumbe si wakoIle yakuz nini.....isome upya taratbuuuuu, between the linez....rejeo