Lloyd Munroe
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 14,259
- 35,534
Me Mimi Sunni tulishamaliza tangu Jana. Kama unakuja kusalimia Sunni Mimi ...karibu SanašBaba bea kwa gubu tu hujambo. Naomba nije kula wali leo.
Me Mimi Sunni tulishamaliza tangu Jana. Kama unakuja kusalimia Sunni Mimi ...karibu SanašBaba bea kwa gubu tu hujambo. Naomba nije kula wali leo.
Nilikuambia utanipatia?Kwema, salamu zisiwe nyingi.
Twende kazi una hamu ya kitu gani leo?
Jamani, basi siji.Me Mimi Sunni tulishamaliza tangu Jana. Kama unakuja kusalimia Sunni Mimi ...karibu Sanaš
Abee jirani
šUnakumbuka kale kadada ka Dainamo kalipanda Jukwaani huko Mkoani kwenu Mbeya kakataka kuinba "Sijiii" kilimkuta Nini ?Jamani, basi siji.
Sawa baba bea nakuja. We mwanaume kwa mikwara tu hujambo.šUnakumbuka kale kadada ka Dainamo kalipanda Jukwaani huko Mkoani kwenu Mbeya kakataka kuinba "Sijiii" kilimkuta Nini ?
Watanuna watu humu Babe.Sawa baba bea nakuja. We mwanaume kwa mikwara tu hujambo.
UlipataUzi wa kumalizia mwezi
Mimi nina hamu ya samaki wali wa nazi, hamu ya maziwa, kupata totoz moja cheupe dawa ya kuspend nayo usiku.
Ova
Mimi sionekani jirani najifungiaga ndani tušnahamu nikuone tu jirani š
Kikubwa ulishibanilipata samaki tu mkuu š
Karibu jiraniHaha basi nakuja nikuone