Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,068
Wengi wataona ni swali la kipuuzi lakini tukiwa wakweli toka rohoni wengi wetu leo wamelala Sehemu ambazo sizo kabisa
Kuna waliolala
1: na mahouse girl
2:nyumba ndogo lakini wamesingizia wako safarini au kazini
3: kwa mabwana wa nje lakini wamesingizia wako kwa dada au kwa shangazi
4: Gesti lakini wazazi wanajua mtoto yuko salama chuoni au hostel
5:Baharini , msituni njia panda na sangoma akitafuta dawa ya umaarufu na pesa
6: Kanisani au msikitini wakiomba dua hawa wamepata thawabu
7:mahabusu kwa kesi mbalimbali hawa tueaombee
8:hospital kwa magonjwa na ajali hawa tuwaombee
9:kaburini kwa vifo mbalimbali
10: Lakini kuna waliolala Na wake/waume zao wa ndoa kwa raha na amani tele
Je wewe umelala wapi leo??? Nanani???