JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
wanamsulubisha au walimsulubisha?Kila la heri.Sie wengine leo ni huzuni.Waisraeli wanamsulibisha Yesu
wanamsulubisha au walimsulubisha?
nimepata ajira huku arifMnafanya nini huko Dampo??
Kwa nini uhuzunike na wakati Mwana wa Adam yu hai na anataka aishi ndani yako sasa??Kila la heri.Sie wengine leo ni huzuni.Waisraeli wanamsulibisha Yesu
nimekuja kuchukua taka arif.., kuna maishu nimegundua yanalipaMmeenda kumwaga taka?
Wanalipaje arif ili tukujoin...natafuta mshiko kwa udi na uvumbanimepata ajira huku arif
ndo nini!??wanamsulubisha au walimsulubisha?
teh teh teh.... Ajira natoa mwenyewe arif. Watu wananjaa mbaya pande hiziWanalipaje arif ili tukujoin...natafuta mshiko kwa udi na uvumba
teh teh teh.... Ajira natoa mwenyewe arif. Watu wananjaa mbaya pande hizi
hapa dau ni bei chee tu na wachezeshea.... Ila kama unaweza fanya mchakato wa lori 2 za majani ya migomba tuongee biashara arifHahaha...weka dau mezani basi ili nikuje pande hiyo haraka mno...maana sikukuu hii sina kabisa dinero!
Mhh makubwa! Dampo na mvua hizi si ni balaa!
"Usile nyama siku ya ijumaa kuu!"
hapa dau ni bei chee tu na wachezeshea.... Ila kama unaweza fanya mchakato wa lori 2 za majani ya migomba tuongee biashara arif
Nitafanya kama lori 3 hivi...labda tuanzie hapo