comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,456
- 11,518
Kwa upande wako skukuu yako unaenda wapi? Mimi nitakuepo home tu ila natamani niingie town nidake maini yenye utumbo msafi nikapige nayo bia mbili tatu!
Kula bia bila maini ikiwa pembeni huo ni uhujumu uchumi.
Kula bia bila maini ikiwa pembeni huo ni uhujumu uchumi.