Leo tunasherehekea send-off party ya msindima!.......hongera sana msindima

Kila la heri Msindima

Teamo mbona taarifa hizi unazileta umechelewa???
 
Sikupi mji ng'oooooooo najua na sio kwamba nimekosea ila nimepunguza makali tuu ya kimalizio---jibu lakin ni usilale na CHUPI
HEHEHEHE!can you please loudly and systematically say it again and again and again?????halafuuu..hivi kinywaji chako ni kile kile VLADMIR au umehamia kwenye vodka kama ulivyoniahidi?
 
Kila la heri Msindima

Teamo mbona taarifa hizi unazileta umechelewa???
nitakujibu mama!lakini kama unavyojua tena siku hizi wadau kibao wana wimbo wao wa ''NIKO BIZE,mara NIKO TAITI,''...eenewei ngija nikaangalie gari la bibi harusi kama wameshapamba then nitarudi
 
HEHEHEHE!can you please loudly and systematically say it again and again and again?????halafuuu..hivi kinywaji chako ni kile kile VLADMIR au umehamia kwenye vodka kama ulivyoniahidi?
Niko KIVALUUUUUUUUU ZAIDI...LOL
 
congratulation mwana wane
Nubia_group_congratulations004.gif
 
Hongera sana Msindima, hope utakuwa na ndoa yenye furaha na amani na kamwe hatutopokea topic ya malalamiko hapa kuwa "ndoa imekuwa ndoano"
 
Teamo nipitie niende kwenye hiyo shughuli its like umeleta hizi taarifa kwakuchelewa ili tusije
am waiting........pick me up an hr kabla ya shughuli.
 
Teamo niko hapa nje ya ukumbi naona ulivyo bize ckusemeshi mpaka umalize kazi, kweli unajituma.

CONGRATULATIONS Dear Msindima, welcome to the world.
 
Teamo niko hapa nje ya ukumbi naona ulivyo bize ckusemeshi mpaka umalize kazi, kweli unajituma.

CONGRATULATIONS Dear Msindima, welcome to the world.

nakuja kumalizia vile viporo this weekend!!
 
Back
Top Bottom