Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,753
- 3,691
Utakiona cha mtema kuni,
Mpaka leo huyo mtema kuni sijawahi kumjua
Mpaka leo huyo mtema kuni sijawahi kumjua
Sechelela kongola
Utajiju utajidabojei.LEO TUKUMBUSHANE MISEMO YA KIZAMANI kwa mfano
Danga cheee,Dukinaaa,
Dole tupu halina ukucha
Imetoka hiyo ikirudi pancha
Mambo kwa soksi
Mambo shega
Danga chee
Hivi mtema Kuni alifanyaga mini!!?Utakiona cha mtema kuni,
Mpaka leo huyo mtema kuni sijawahi kumjua