Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,128
- Thread starter
- #21
kuna mdau anasema hata ubwabwa ni zaidi ya mapenziNi kama pipi tu. Mimi huwa nanunua pipi aina zote. Pipi machungwa, pipi kali, toffee n.k naweka chumbani. Nikirudi nyumbani usiku nakula pipi kwa kwenda mbele. Ni tamu sana. Nimeamua kuachana na mapenzi kwa sababu pipi ni tamu zaidi