Kelvin John Joseph
Member
- Mar 7, 2020
- 47
- 81
Hii imenitoa jasho kidogo lakini iko poa sana, siyo express kama zile zingine, imenichukua almost three months kuidesign na kubuild. Inapokea watumiaji na alhamdulillah mafundi wanaopost kazi zao humo wanapata wateja.
Nimekuwa nikiamini kuwa ndoto haiwezekani bila kuweka jitihada, nashukuruni sana wale magwiji kwa mchango wenu na hakika imewezekana.
MAFUNDI APP
Humo utakutana na fundi aliyebobea kwenye kazi unayoikusudia.
https://fundi-find-tanzania.vercel.app/