leo tarehe 5 March 2014 ni Jumatano ya majivu

leo tarehe 5 March 2014 ni Jumatano ya majivu

Kwa wakatoliki wote NAWAOMBEA KWARESMA NJEMA na KUJALI MAADILI YA WEMA NA KUISHI KATIKA NJIA SAHIHI ZA MUNGU ALIZOELEKEZA...Yasiishiie Kwaresma; ishiini daima katika njia HIZO SAHIHI.

KWARESMA NJEMA

Nawe pia..
 
mkuu kbm;
ninukulie andiko lililoongelea KWARESMA.
Na agizo linalotuagiza kupaka majivu.
Na ndo swali langu wakuu.
Ufunuo 7;3, 9:4, 14;1.
Kwaresma ni neno la kilatini. Kiswahili chake ni mfungo. Wameamua kufuata njia kama ya Yesu ya kufunga siku 40. Ni mambo ya imani kama huamini wewe kaa na imani yako kwa uhakika kuna zaidi ya watu bilioni 1 duniani hawaamini hicho unachokiamini sasa hivi.
 
Mbona umeweka number tuu bila maelezoo ?......huo ufungukaji ukoje ?
 
Ni ufafanuzi wa andiko....Maana kuna wale ndugu zetu huwa wanageuza ratiba za mlo...Mchana wanauleta usiku na usiku huo wanakula kama mchwa..

mnaonaje nyie mkaacha kabisa !? .......maana hamueleweki, mara mnafunga, mara mnajinyima, mara mnajizuia ! ........utaratibu ni upi kwa mujibu wa andiko ?
 
Ahsante mkuu!!! Maana kama mm nimetoka Job nikapitilizia Kanisani moja kwa moja..nimechokajee???? Ila Jumatano ya majivu imekwenda vema..

Ahsante tena!!!

Sasa hayo majivu kachomwa nani !?
 
kama unataka kujua habari za kufunga soma agano la kale kitabu cha nabii yoeli, pia zaburi ktk kisa cha nabii daudi alipoozaa na mke wa mtu. Na kisa cha nabii yona mjini ninawi. Kufunga ni kuomba msamaha kwa makosa tuliyotenda na pia kujiandaa kwa ajili ya pasaka. Kwa habari ya pasaka imekuwapo toka agano la kale. Tafadhali soma vizuri maandiko ili uelewe.

Sasa Pasaka inahusishwa vipi na kusulubiwa Yesu wakati ilikuwepo kabla ya Yesu !??..........mbona utata !??
 
Sasa hayo majivu kachomwa nani !?

majivu yametokana na majani ya mitende yaliyochomwa, utauliza tena majani hayo yametoka wapi? Ni hivi, wakati Yesu anaenda mjini Yerusalem alipokewa kwa shangwe na majani ya mitende yalitumika sana, sasa sisi wakristo (wakatoliki) huwa tunaadhimisha siku ya matawi kanisani kwa kutumia majani aina ya mtende, na majani hayo huwa yanarudishwa kanisan muda wa kwaresma unapokaribia ili yachomwe tupate majivu. Kupakwa Majivu maana yake mwanadam ametoka mavumbini, ameumbwa kwa udongo na mavumbini atarudi.
 
mnaonaje nyie mkaacha kabisa !? .......maana hamueleweki, mara mnafunga, mara mnajinyima, mara mnajizuia ! ........utaratibu ni upi kwa mujibu wa andiko ?

labda hujajua tu ndugu, mimi kama mkatoliki nikifunga ninachofanya ni kwamba, kiasi cha chakula ama fedha ambacho ningekitumia asubuh na mchana, badala yake natoa kwa wasiojiweza kama wazee, ama watu wenye shida mbalimbali kama wafungwa, watoto yatima, hii ndio sadaka na mfungo wa kweli na sio kulimbikiza ili jioni iwe kama mlima wa msosi hata sungura haruki, hapana, huo utakua ni unafiki.
 
majivu yametokana na majani ya mitende yaliyochomwa, utauliza tena majani hayo yametoka wapi? Ni hivi, wakati Yesu anaenda mjini Yerusalem alipokewa kwa shangwe na majani ya mitende yalitumika sana, sasa sisi wakristo (wakatoliki) huwa tunaadhimisha siku ya matawi kanisani kwa kutumia majani aina ya mtende, na majani hayo huwa yanarudishwa kanisan muda wa kwaresma unapokaribia ili yachomwe tupate majivu. Kupakwa Majivu maana yake mwanadam ametoka mavumbini, ameumbwa kwa udongo na mavumbini atarudi.

sasa kwa nini wasipakwe udongo au vumbi?majivu yanakujaje,wazungu wanapenda sana kuwa kinyume na maandiko,hii siku ilipaswa iitwe Jumatano ya udongo au Jumatano ya vumbi
 
Hiyo 1Wakorintho 7:1-5 umetoa maelezo yako badala ya ku quote andiko !
Unataka nani akakosomee? Hapa ingekuwa Wakristo wanaelezea jinsi gani mnavyofunga ungepandwa na jazba lakini unaonekana jinsi gani usivyokuwa na busara katika kuheshimu imani za wenzanko...........
 
Umejistukia kama mtu aliyevaa chupi mb.ichi.....Sijaku-quote mm nimetoa muono wangu jinsi uzi ulivyo haribiwa......Sasa wewe kama hujaiba kwann watetemeka...

Halafu pilipili usizozila zakuwashia nini...????

Asante kwa matusi, Sitaki vita na wewe, lengo langu halikuwa hapo ulipofika, lengo langu ilikuwa ni kufundishana tu, Thanks by the way
HOSEA 4:6

(OVER AND OUT)
 
Yani umebatizwa ukapata kipaimara hukuwahi kumuuliza mwl wako au katekista wako. inamaana haujabatizwa maana huamini ulipo,muhimu tafuta mafundisho ukayaelewe ili uweze kuamini na ubatizwe utaokoka

Tulibatizwa tukiwa watoto, hatukujua nini maana ya ubatizo, tulifundishwa kipaimara tukiwa bado wachanga wenye kuamini kila mkubwa anachojua kuwa ni ukweli, JE sasa tumekuwa watu wazima haturuhusiwi kutaka kujua kwa undani ukweli wa imani yetu? Je ni nani atakae tufundiha ukweli huu?

Hapo kwenye read, hiki ndicho ninachokifanya. THANK YOU.
 
Back
Top Bottom