Acheni watu wapakwe majivu bana. Wanajitambua au la haijalishi. Imeandikwa au haikuandikwa sio ishu sana, wenyewe si wameridhika?!! Sioni sababu ya kuwaharibia watu siku.Jamani wana jamvi;
Nisaidieni,
ktk biblia yetu takatifu,
Imeandikwa wapi habari ya kwaresma?
hasa hasa kuhusu kupakana majivu kwenye vipandauso?
kwa taarifa yako mimi ni mkristo swafi, wala sio msabato, ni mtu ninaependa kujua kwa undani kuhusu imani yangu badala ya kuamini mapokeo amabayo hayana msingi katika bibilia. GOT THAT?Huu uzi umevamiwa na majini ya Kisabato na ya Mwamedi......Ngoja niwahi chap kanisani nikayaombee yatoke.....
kwa taarifa yako mimi ni mkristo swafi, wala sio msabato, ni mtu ninaependa kujua kwa undani kuhusu imani yangu badala ya kuamini mapokeo amabayo hayana msingi katika bibilia. GOT THAT?
......oooh ! Saumu ni hilo tendo la kufunga, ni kiarabu tuu Boss, kidhungu ni fasting !saumu maana yake nini. Mi naamini tuna imani tofauti na wewe. Sisi tunafunga kuomba msamaha kwa makosa tuliyotenda na kujinyima kwa ajili yhatubaa kusaidia wahitaji na pia kujiandaa kumpokea kristu mfufuka. Sisi dili masaa ya kula kutoka mchana kwenda usiku.
Nauliza tu hivi Walokole wanasherekea pasaka? wanaamini pasaka? kwa vitabu vipi? na kwa Kalenda ya Wakatoloki na waprotestant au wana pasaka yao.
Acheni watu wapakwe majivu bana. Wanajitambua au la haijalishi. Imeandikwa au haikuandikwa sio ishu sana, wenyewe si wameridhika?!! Sioni sababu ya kuwaharibia watu siku.
Jamani muwe na kwaresma iliyo njema. Ujue hii tabia ya kukejeli watu sio nzuri kwa sababu kama Mungu unayemuamini wewe ndiye sahihi siku akiamua atawaleta upande wako.
"Msiogope kutisha kwao, wala msifadhaike, Mwe tayari siku zote kumjibu kila mtu awaulizaye habari za tumaini lililo ndani yenu lakini kwa upole na kwa hofu" (1Petro 3:14-15)
Ingawa kufunga katika maandiko karibu kila mara ni kufunga kutoka chakula, kunazo njia nyingine za kufunga. Kitu chochote kimeachwa kwa muda ili kuweka mawazo yetu kwa Mungu chaweza chukuliwa kufunga (1 Wakorintho 7:1-5). Kufunga lazima kuwe na mipaka muda uwekwe hasa wakati tunafunga kutoka kwa chakula. Muda ulioongezwa bila kukula unaweza kuwa wa madhara kwa mwili. Kufunga hakuko kwa madhumuni ya kuuteza mwili, bali kuyaelekeza mawazo yetu kwa Mungu. Kufunga kusichukuliwe kuwa "ratiba ya chakula." Lengo la kibibilia la kufunga sio kupunguza uzito, bali kupata ushirika wa ndani na Mungu. Mtu yeyote anaweza kufunga, lakini wengine huenda hawataweza kufunga kutoka kwa chakula (Wenye ugonjwa wa sukari). Kila mtu anaweza anaweza kuacha kitu chochote kwa muda na kuleta mawazo yake karibu na Mungu.
eeenhe, hivi kwaresma haiwahusu walokole !?:rolleyez:
majivu yapakwe ndani ya mioyo yetu kwanza ndipo yapakwe usoni ili tusije kuwa kama mafarisayo
[/B]..........haya ni mawazo yako au ni andiko !!?:bored:
Msiogope kutisha kwao, wala msifadhaike, Mwe tayari siku zote kumjibu kila mtu awaulizaye habari za tumaini lililo ndani yenu lakini kwa upole na kwa hofu (1Petro 3:14-15)
Ingawa kufunga katika maandiko karibu kila mara ni kufunga kutoka chakula, kunazo njia nyingine za kufunga. Kitu chochote kimeachwa kwa muda ili kuweka mawazo yetu kwa Mungu chaweza chukuliwa kufunga (1 Wakorintho 7:1-5). Kufunga lazima kuwe na mipaka muda uwekwe hasa wakati tunafunga kutoka kwa chakula. Muda ulioongezwa bila kukula unaweza kuwa wa madhara kwa mwili. Kufunga hakuko kwa madhumuni ya kuuteza mwili, bali kuyaelekeza mawazo yetu kwa Mungu. Kufunga kusichukuliwe kuwa ratiba ya chakula. Lengo la kibibilia la kufunga sio kupunguza uzito, bali kupata ushirika wa ndani na Mungu. Mtu yeyote anaweza kufunga, lakini wengine huenda hawataweza kufunga kutoka kwa chakula (Wenye ugonjwa wa sukari). Kila mtu anaweza anaweza kuacha kitu chochote kwa muda na kuleta mawazo yake karibu na Mungu.
Msiogope kutisha kwao, wala msifadhaike, Mwe tayari siku zote kumjibu kila mtu awaulizaye habari za tumaini lililo ndani yenu lakini kwa upole na kwa hofu (1Petro 3:14-15)
Ingawa kufunga katika maandiko karibu kila mara ni kufunga kutoka chakula, kunazo njia nyingine za kufunga. Kitu chochote kimeachwa kwa muda ili kuweka mawazo yetu kwa Mungu chaweza chukuliwa kufunga (1 Wakorintho 7:1-5). Kufunga lazima kuwe na mipaka muda uwekwe hasa wakati tunafunga kutoka kwa chakula. Muda ulioongezwa bila kukula unaweza kuwa wa madhara kwa mwili. Kufunga hakuko kwa madhumuni ya kuuteza mwili, bali kuyaelekeza mawazo yetu kwa Mungu. Kufunga kusichukuliwe kuwa ratiba ya chakula. Lengo la kibibilia la kufunga sio kupunguza uzito, bali kupata ushirika wa ndani na Mungu. Mtu yeyote anaweza kufunga, lakini wengine huenda hawataweza kufunga kutoka kwa chakula (Wenye ugonjwa wa sukari). Kila mtu anaweza anaweza kuacha kitu chochote kwa muda na kuleta mawazo yake karibu na Mungu.
kwa taarifa yako mimi ni mkristo swafi, wala sio msabato, ni mtu ninaependa kujua kwa undani kuhusu imani yangu badala ya kuamini mapokeo amabayo hayana msingi katika bibilia. GOT THAT?
Yani umebatizwa ukapata kipaimara hukuwahi kumuuliza mwl wako au katekista wako. inamaana haujabatizwa maana huamini ulipo,muhimu tafuta mafundisho ukayaelewe ili uweze kuamini na ubatizwe utaokoka