Koplo Baka hana hamu na Mpanzu tena kwa alichomfanyia πKwa hili ulilosema bwashee nimetungua vodka nyingine tenaπ
Koplo kakaa , kama anasubiria urojo π cc MawardatDellapinaKoplo Baka hana hamu na Mpanzu tena kwa alichomfanyia π
Kuanzia jmosi juzi mkuuBwashee walipe walio kubana kunywa pombe ili ukanywe tu hata kesho π€£
Mpaka muda huu nipo highAsees sema nabanwa tu leo nimepata nafasi ya kutia gambe naliwasha mnoπ
Naam mweshimiwa
Hakuna namna mkuu kula biaHahaha tulewe tuπ€£
Mabroo mnalewa vipi huku kazini majungu tupu tena ya kudharirishana na kushushiana hadhi? Mnaishi vipi makazini? Inapotokea watu wanakuona incompetent to some angles?Hahaha tulewe tuπ€£
Ndio maana hata matumizi ya pesa zako ni ya kitoto! Mimi simba kindaki lakini siwezi kufanya utoto kama huoNimetuma sh million 1 za kitanzania shule anayosoma binti yangu, kwa ajili ya kusheherekea ushindi wa simba dhidi ya uto , nikatoa maelekezo kwa mwalimu asiwape uto π
Ila binti yangu akalia na kupiga simu kuwa marafiki zake wengi ni uto na mnyima furaha π€£
Nikaona niseme nao ,uto wapate tuπ
Ulijuaje kuwa kwao na rafiki yako ni wa kishua:Nimetuma sh million 1 za kitanzania shule anayosoma binti yangu, kwa ajili ya kusheherekea ushindi wa simba dhidi ya uto , nikatoa maelekezo kwa mwalimu asiwape uto π
Ila binti yangu akalia na kupiga simu kuwa marafiki zake wengi ni uto na mnyima furaha π€£
Nikaona niseme nao ,uto wapate tuπ
π ππ π
Koplo amepelekewa pumzi ya moto hadi ameomba maji π€Koplo kakaa , kama anasubiria urojo π cc MawardatDellapina
Vale nafaka.Maghayo busu la kengeπ