Leo tarehe 12 , 2026.

Tulipo fungwa moja mzee mbona NIKITOKA dakika ya 5

Mpanzu akagongesha besela nikaenda zangu nje nikawa nakunywa TU

Ila baadae ikawa furaha
Yeye nilimwona akifurahia baada ya lile goli la kwanza la ndondokela kutufunga

Tulipofunga la kusawazisha, alianza kutojibu reply

Baada ya kumpiga la pili, ndiyo akaondoka online kabisa

Na kwa taarifa zangu za ujasusi, hajarudi hewani tangu juzi πŸ€ͺ
 
Hii picha natamani sana ingebandikwa kwenye ofisi mbalimbali za umma na ma hospitaliniπŸ˜€
 
🀣 kisichana changu , kina huruma za kijinga sana πŸ˜… ,kilikua kinanipostia kinavyo wakera ila kwa hapo kimelegeza🀣
Huyo kweli ana huruma

Mimi wangu bado wapo shuleni, wakifunga itakuwa ni sherehe tu

Ngoja niwaandalie Jersey ya mnyama ili kuhitimisha furaha yao πŸ€—
 
Tulipo fungwa la kwanza nilichukia sana yule maema nikawa namlaumu

Nilichukia
 
Huyo kweli ana huruma

Mimi wangu bado wapo shuleni, wakifunga itakuwa ni sherehe tu

Ngoja niwaandalie Jersey ya mnyama ili kuhitimisha furaha yao πŸ€—
Bwashee waandalie mbuzi mkubwa unyamani hatunaga kazi ndogo😁
 
Tulipo fungwa la kwanza nilichukia sana yule maema nikawa namlaumu

Nilichukia
Kosa la Maema humtokea mchezaji yeyote, ila Ile kesi ya Baka, ndiyo aibu ya Karne

Jamaa amemkimbiza hatimaye akakaa chini kumwangalia Mpanzu akienda kufunga πŸ€—

Yaani alifanywa Kuruta kabisa kwenye Ile muvi
 
Kwa hili ulilosema bwashee nimetungua vodka nyingine tenaπŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…