leo tar 15 october,siku muhimu sana.

sixgates

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
3,979
2,000
wadau poleni kw harakati za maandaliz ya maandamano ya nchi nzima kupinga den la dowans,kwetu mabango tayar. .
Namshukuru MUNGU mwingi wa rehema kwa kuniacha mpaka leo siku ya kuzaliwa. .kwangu ni neema tu. .pia nawapongez wote waliozaliwa siku ya leo!
 

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,380
2,000
Kwa hiyo wewe unajitoa kwenye maandamano? Happy birthday
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,520
2,000
Hakuna maandamano ni porojo tupu.
.
.
.
.
.
Happy Birthday ndg.
 

Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
10,412
2,000
...Namshukuru MUNGU mwingi wa rehema kwa kuniacha mpaka leo siku ya kuzaliwa. .kwangu ni neema tu. .pia nawapongez wote waliozaliwa siku ya leo!

Pamoja kiongozii!

Nilzaliwa siku kama ya leo pia, miaka kadhaa iliyopita. Leo pia tunasherehekea Global Handwashing Day na theme ya mwaka huu ni '' Clean Hands saves Life''
 

chief72

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
616
500
Yaani wew mwaka karibia unaisha ndo ukazaliwa,ulikuwa wapi kuzaliwa mwezi wa kwanza?any way just a joke mkuu,Na uishi miaka mingi,happy Bth day
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
109,549
2,000
20900.gif


Happy Birthday Mkuu...hongera kwa maandalizi ya mabango ya kupinga malipo fisadi kwa Dowans.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom