leo sikuwa na hamu ya kula nilionja tu

Ni chakula gani hicho Viol
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh teh teeeeeeeeeeeeeh, hata kukaribishana hakuna!!!!!!!?
 
Duh... ila kwa wasukuma inaweza ikawezekana! hahahaaa!

Tusitanie jamani, kulingana na kazi wanazofanya, ndugu zetu wasukuma wanagonga ugali ile mbaya!
 
Duh... ila kwa wasukuma inaweza ikawezekana! hahahaaa!

Tusitanie jamani, kulingana na kazi wanazofanya, ndugu zetu wasukuma wanagonga ugali ile mbaya!
kuna mshikaji mmoja anapiga kazi ya kulima jembe la mkono,akipewa wali lazima iwe ugomvi,yaani kumpa wali kama anateswa vile,apewe ugali utaona anavyopiga halafu maji ya kunywa apewe jagi kabisa.
 
Na ku.nya pia hapohapo....ila hawa walikua wakijishaua tu mbele ya camera. ..inaonekana km ni chakuka cha sherehe ya watu kadhaa
ila huwezi jua unaweza kukuta chakula chenyewe kilaini
 
Na ku.nya pia hapohapo....ila hawa walikua wakijishaua tu mbele ya camera. ..inaonekana km ni chakuka cha sherehe ya watu kadhaa
hujawahi kuona nini wageni toka shamba wakiingia mjini siku ya kwanza, msosi wa familia nzima ukiletwa mezani ye akipakua anachukua robo 3 lote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…