Leo nisipokufa basi sifi tena

Nenda na panga kali au bastola au jambia kabisa.. maliza kazi...!!
 
Fanya hrk uende, usipende vya kusimuliwa penda kushuhudia mwenyew
 
Hiyo ni ziara ya kushtukiza kwa watu wasiotimiza majukumu. Timiza majukumu yako baba.
 
kaka jiuzulu kwa mama neema maana hakuna namna tena coz kama jipu kashatumbuliwa!
 
hebu mpigie tena km atapokea
au amesharudi Home unamuonaje kapitiliza bafuni ? au ana aibu aibu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…