Leo nimewavulia kofia wachawi

Asante kwa wewe zinaekutosha. Ni tukio ambalo sijalipenda na kulilaani, nimeposti si kwa kupenda ila kuonyesha namna tulivyo bado wajinga, watu wenye roho mbaya na wenye wivu wa maendeleo. Sijaweka picha yake akiwa hai na nimeonyesha sehemu aliyofanyiwa na hao usiotaka jamii isiwachukie kwa kuficha maovu yao. Next tumia lugha zuri kwani matusi hata mimi yapo tele
...teh hee hee..acha mikwara mbuzi!....una hakika heading na maelezo ya awali yanashabihiana na hiki ulichokiandika sasa,kama kweli zimo?
...anyway,kama mlikubaliana 'kuZAA kimya',sasa wewe kiherehere cha nini?
...ilishaandikwa,mtazaa kwa uchungu!
 
Hiyo kutolewa ngoz kisogon ina maana gan?
Mkuu kila mtu anajiuliza. Sio nywele tu wamekata hadi nyama inayoshikilia nywele pamoja na mavuzi pia mzee mmoja akakataa maiti isiagwe kwa mara ya mwisho eti hayo ni mambo ya kidini. Tuliokuwa tumeona hilo tukio tukazidi kuunganisha dots picha yake huyo mzee ninayo ukiitaka private takutumia
 
Hivi huu moyo wa kupiga picha maiti huwa mnautoa wapi?
Ndugu kwa taarifa yako nilipewa jukumu la kupiga picha za kumbukumbu hadi video ninazo. Hizo sms nizababa yake marehemu hivyo hatukukutana barabarani na mimi niliitwa hadi ndani ambapo kimila wanaruhusiwa wazee tu ili nikapige picha tukio hilo. Sikulaumu kwa vile hata mimi nilikuwa najiuliza hivi mtu unapataje ujasiri wa kuosha maiti hadi siku moja nilipoambiwa kuingia ndani kumuosha mjomba wangu marehemu ambapo nilishindwa hata kumgusa lakini mdogo wangu wa tatu kunifuata akavaa gloves na kumuosha mwenyewe pasipo woga
 
Wamechukua kitendea kazi kwa malengo maalum
Nilitamani sana kaka uje nashukru sana uwepo wapo japo wananishutumu lkn nililenga kujifunza kutoka kwako nini hasa malengo yao? Kwa nini hawakufanya hivi usiku hadi asubuhi?
 
Waoshaji huwa wana mchezo huo pia,sema maisha hayako fair,ukiweka zindiko mungu hapendi,huyo mkataj kama ni mwanga mbona angenasa,ila ukiwa na nduguyo anatakiwa kuoshwa hakiksha hutok wanapooshea,wanachukua ving sana
 
Ndugu kwa taarifa yako nilipewa jukumu la kupiga picha za kumbukumbu hadi video ninazo. Hizo sms nizababa yake marehemu hivyo hatukukutana barabarani na mimi niliitwa hadi ndani ambapo kimila wanaruhusiwa wazee tu ili nikapige picha tukio hilo. Sikulaumu kwa vile hata mimi nilikuwa najiuliza hivi mtu unapataje ujasiri wa kuosha maiti hadi siku moja nilipoambiwa kuingia ndani kumuosha mjomba wangu marehemu ambapo nilishindwa hata kumgusa lakini mdogo wangu wa tatu kunifuata akavaa gloves na kumuosha mwenyewe pasipo woga
Sawa mkuu

Huwa nahisi maiti inahita stara ya hali ya juu ni mtizamo wangu tu.

Pole sana kwa msiba mkuu
 
karibuni wote nyumbani kwa Bwana bado anawapenda haya yote yataendelea kuwatokea wasio amin lkn kwa waamin hilo haliwez kutokea kamwe. Jesus loves you all.....!!!
 
Duniani kuna mengi sana yaliyojificha kama ujashuudia au kukutokea unaweza usiamini. Kuna watu wanafanyia wenzao vitu vya ajabu na kushangaza sana. Pole sana mkuu Mungu akutie nguvu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom