Leo nimesikia aibu sana

Leo nimesikia aibu sana

kwenda21

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
3,423
Reaction score
3,415
Leo bwana nilikwenda supermarket moja hivi, nilipongia nikakuta kuna kifoleni kidogo kwani mbele kulikuwa na mteja ambaye anaongea English, Kiswahili hajui ilikuwa ni wakati wakulipia na muuzaji nae Kiingereza hajui, niliumia sana kwani yule mteja mimi namjua ni dada wa Kimakonde na kaolewa na mzungu, anajua Kiswahili vizuri tu nahisi kushinda Kiingereza chenyewe.

Nilikaa nikasema why anafanya hivi lakini, huyu dada nilishawahi hata kucheza naye pool table ni Mswahili kabisa na ni Mmakonde kwa wazazi wake Mikoroshoni, kasoma Msasani Primary School.
 
Leo bwana nilikwenda supermarket moja hivi,nilipongia nikakuta kuna kifoleni kidogo,kwani mbele kulikuwa na mteja ambae anaongea english kiswahili hajui ilikuwa ni wakati wakulipia,na muuzaji nae kiingereza hajui,niliumia sana kwani yule mteja mimi namjua ni dada wa kimakonde na kaolewa na mzungu,anajua kiswahili vizuri tu nahisi kushinda kiingereza chenyewe,,nilikaa nikasema why anafanya hivi lakini,huyu dada nilishawahi hata kucheza nae pool table ni mswahili kabisa na ni mmakonde kwa wazazi wake mikoroshoni,kasoma msasani primary school
Ungemkanyaga kwa makusudi mguuni uone kama ataweza kusema "umenikanyaga" kwa kiingereza 😀🙂
 
Leo bwana nilikwenda supermarket moja hivi,nilipongia nikakuta kuna kifoleni kidogo,kwani mbele kulikuwa na mteja ambae anaongea english kiswahili hajui ilikuwa ni wakati wakulipia,na muuzaji nae kiingereza hajui,niliumia sana kwani yule mteja mimi namjua ni dada wa kimakonde na kaolewa na mzungu,anajua kiswahili vizuri tu nahisi kushinda kiingereza chenyewe,,nilikaa nikasema why anafanya hivi lakini,huyu dada nilishawahi hata kucheza nae pool table ni mswahili kabisa na ni mmakonde kwa wazazi wake mikoroshoni,kasoma msasani primary school
Sasa kakosea wapi, unajua wengi mlio soma enzi za Nyerere mnaona kuongea kiswahili ni lazima hata kama hutaki.......njoo ofisini kwangu if you can't answer in Engilish just quit, wakati mimi ni msahili kabisa. Kila lugha inawakati wake.
 
Hii inanikumbusha enzi zile na rafiki yangu tunaenda sabsaba, sasa ukitutizama ni kama wabulushi flani hivi, basi tunaambizana kabisa tukiingia ndani tunachange lugha, basi tukiingia kwenye mabanda tukiona wanatuzingua tunawaongelea kiinglish basi utakuta wanatukwepa.
 
Sasa kakosea wapi, unajua wengi mlio soma enzi za Nyerere mnaona kuongea kiswahili ni lazima hata kama hutaki.......njoo ofisini kwangu if you can't answer in Engilish just quite, wakati mimi ni msahili kabisa. Kila lugha inawakati wake.
aisee hata kama ndo kingereza kama ungebonga hiki chako hapo supermarket wangekucheka
 
Sasa kakosea wapi, unajua wengi mlio soma enzi za Nyerere mnaona kuongea kiswahili ni lazima hata kama hutaki.......njoo ofisini kwangu if you can't answer in Engilish just quite, wakati mimi ni msahili kabisa. Kila lugha inawakati wake.
Siyo lazima ila kama kuna lugha unaeza wasiliana nae mkaelewana na ni lugha yenu ya taifa ,nini kinakuzuia tena akasema i dont understand swahili,hahahaahah
 
Sasa kakosea wapi, unajua wengi mlio soma enzi za Nyerere mnaona kuongea kiswahili ni lazima hata kama hutaki.......njoo ofisini kwangu if you can't answer in Engilish just quite, wakati mimi ni msahili kabisa. Kila lugha inawakati wake.
kUna baadhi ya ofisi za umma kuna haka katabia kakuzungumza english baina ya watumish,huwa hawajui tu huwa wananifanya nitaman kukimbia,maana mimi hata kujuliana hali tu sjui kwa kidhungu
 
Sasa kakosea wapi, unajua wengi mlio soma enzi za Nyerere mnaona kuongea kiswahili ni lazima hata kama hutaki.......njoo ofisini kwangu if you can't answer in Engilish just quite, wakati mimi ni msahili kabisa. Kila lugha inawakati wake.
If you can't answer in Engilish just quite? 😂😂😂😂 Ndio maana wakenya na wanaijeria wanatudharau 😂
 
Ndio maana tunaambiwa Watanzania tujifunze kiingereza! Akija Mkenya kuchukuwa nafasi yake tunaanza kulalamika. Basi mwenye duka aajiri Wakenya au Waganda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom