Leo nimesikia aibu sana

Leo nimesikia aibu sana

Na huyo dada kafanya makusudi ili kuonyesha umuhimu wa kiingereza.
Habari yafo kibobori?

Jamaa hajui alikuw anaongea kwq sababu sio mara ya kwanza hili jamaa kumtangaza kuwa huyu dada ni mmakonde 😄
 
Sasa kakosea wapi, unajua wengi mlio soma enzi za Nyerere mnaona kuongea kiswahili ni lazima hata kama hutaki.......njoo ofisini kwangu if you can't answer in Engilish just quite, wakati mimi ni msahili kabisa. Kila lugha inawakati wake.
Mmmh umeandika kiingereza cha wapi hapo mkuu!!?
 
Huyo ana mental slavery... Msamehe..

Kakuta hela ukubwani.
Hapo ni swala la lugha au hela? Mnawachukia sana wenye hela, kiasi mnawaingiza hata kwenye mambo wasiyohusika nayo.
 
Haya tuseme ukweli, angekuwa Mnaigeria, Ghana, S. Africa angemhudumiaje? Ni kosa la meneja kumuweka mtu ambae hajui hiyo lugha. Tuache utani, tuwe seriously na hii lugha ya malkia.
 
Leo bwana nilikwenda supermarket moja hivi, nilipongia nikakuta kuna kifoleni kidogo kwani mbele kulikuwa na mteja ambae anaongea english, kiswahili hajui ilikuwa ni wakati wakulipia na muuzaji nae kiingereza hajui, niliumia sana kwani yule mteja mimi namjua ni dada wa kimakonde na kaolewa na mzungu, anajua kiswahili vizuri tu nahisi kushinda kiingereza chenyewe

Nilikaa nikasema why anafanya hivi lakini, huyu dada nilishawahi hata kucheza nae pool table ni mswahili kabisa na ni mmakonde kwa wazazi wake Mikoroshoni, kasoma Msasani primary school
Kuzungumza lugha ni chaguo la mtu, kuna watu wana kipaji cha kuzungumza lugha zaidi ya 5
 
Sasa kakosea wapi, unajua wengi mlio soma enzi za Nyerere mnaona kuongea kiswahili ni lazima hata kama hutaki.......njoo ofisini kwangu if you can't answer in Engilish just quite, wakati mimi ni msahili kabisa. Kila lugha inawakati wake.
Huko ofisini kwako jihudumie mwenyewe
 
Leo bwana nilikwenda supermarket moja hivi, nilipongia nikakuta kuna kifoleni kidogo kwani mbele kulikuwa na mteja ambae anaongea english, kiswahili hajui ilikuwa ni wakati wakulipia na muuzaji nae kiingereza hajui, niliumia sana kwani yule mteja mimi namjua ni dada wa kimakonde na kaolewa na mzungu, anajua kiswahili vizuri tu nahisi kushinda kiingereza chenyewe

Nilikaa nikasema why anafanya hivi lakini, huyu dada nilishawahi hata kucheza nae pool table ni mswahili kabisa na ni mmakonde kwa wazazi wake Mikoroshoni, kasoma Msasani primary school
Mm sijaona aibu hapo
 
Sasa kakosea wapi, unajua wengi mlio soma enzi za Nyerere mnaona kuongea kiswahili ni lazima hata kama hutaki.......njoo ofisini kwangu if you can't answer in Engilish just quite, wakati mimi ni msahili kabisa. Kila lugha inawakati wake.
wee nahuyo dada nimachizi.
Rais mwenyewe anatuongelesha kuswahili wewe Nani kwani?Kama sio andazi....😅
 
Sasa kakosea wapi, unajua wengi mlio soma enzi za Nyerere mnaona kuongea kiswahili ni lazima hata kama hutaki.......njoo ofisini kwangu if you can't answer in Engilish just quite, wakati mimi ni msahili kabisa. Kila lugha inawakati wake.
SAWA !!!!!! TATIZO ENGLISH YENYEWE HAWAJUI VIZURI NDIYO KAMA HIVYO WAKIONA MTU AJUI KABISA NAO WANA MKOMALIA KISHENZI KUTAKA KUMDHALILISHA!!!!!!! TENA WENGI WAO KITAAALUMA ZERO KABISA , HATA HIVYO KUNA TAFITI ZILIONYESHA LUGHA YA KINGEREZA KWA VIJANA WA KITANZANIA NI SHIDA KUPELEKEA KUKOSA AJIRA KWENYE MASHIRIKA YA KIMATAIFA!!!!!! SASA KWANINI KWENDA KUJIBARAGUZA KWA DADA WA SUPERMARKET???????
 
Sasa kakosea wapi, unajua wengi mlio soma enzi za Nyerere mnaona kuongea kiswahili ni lazima hata kama hutaki.......njoo ofisini kwangu if you can't answer in Engilish just quite, wakati mimi ni msahili kabisa. Kila lugha inawakati wake.
"If you can't answer in English, just quite"

Hiyo ofisi yako inaelekea inathanini sana kimombo...

Nakushauri uwe unatumia kiswahili, maana kiingereza unachokitambia hukijui kabisa...

Cc mwalimu snowhite , mchawi Mshana Jr
 
If you can't answer in Engilish just quite? 😂😂😂😂 Ndio maana wakenya na wanaijeria wanatudharau 😂
Jamaa ni kiazi mpaka aibu nimeona mimi...
 
Leo bwana nilikwenda supermarket moja hivi, nilipongia nikakuta kuna kifoleni kidogo kwani mbele kulikuwa na mteja ambae anaongea english, kiswahili hajui ilikuwa ni wakati wakulipia na muuzaji nae kiingereza hajui, niliumia sana kwani yule mteja mimi namjua ni dada wa kimakonde na kaolewa na mzungu, anajua kiswahili vizuri tu nahisi kushinda kiingereza chenyewe

Nilikaa nikasema why anafanya hivi lakini, huyu dada nilishawahi hata kucheza nae pool table ni mswahili kabisa na ni mmakonde kwa wazazi wake Mikoroshoni, kasoma Msasani primary school
Ungemsalimia kwa kiswahili huku ukitaja kabisa jina lake ili watu wajue kuwa unmfahamu fika na kwamba unafahamu kuwa anajua kiswahili
 
Labda anajipimisha kuwa anaweza kuwa fluent Kingereza. Maana wadada wengi wao wanajua sana "LOL" "OMG" "Fuct me harder" "slap that ass" and I am cumingg

Masista duu wengi wa town wanajiona Wamarekani kuliko Wamarekani wenyewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom