Leo nimepiga mwanamke

Nyie wakurya wa Dar buana! Yaani mpaka mwanamke anafikia hapo haujawahi kumtia vitasa hata mara 1? Naona ashajua anaishi na mwanamke mwenzie. CC wanaume wa Dar
 
Duuuhh kazi kweli kweli, huenda aliolewa na "MKURYA" kwa mategemeo atakuwa anapokea kipigo kama ishala ya upendo. Wewe hujakidhi Hilo ndio maana anakufanyia vibwanga kama sio vitimbwi.

Kwa kiasi kikubwa naiona "Hekima" katika kuhakikisha UNAJENGA familia bora yenye kujisimamia. Suala la ugomvi au migongano kuipeleka kwa watu kusuluhishwa ni kukaribisha "nyoka" ndani.

Mpe Muda akapumzike kwao huyo migombani au popote penye kumfaa.
 
Huna haja ya ku- report popote. Hatua uliochukua inafaa sana. Tena wewe ni mkurya mstaarabu sana sijawahi kudhania. Big up. NB cha kuzingatia ..
Jitahidi next time usije ukambomoa ukaharibu reception yake tu.
 
Mkeo amesha anza kugawa papuchi nje..ukiwa mpole sana itakula kwako afu kuwa makini anaeza kukuwekea libwata huyo
 
Ndoa changamoto sana.
Najiuliza ningekuwa ni mimi sijui ningefanyaje.
 
Pole sana na matatizo ndugu
hizi ndoa zisikie tu kwenue matarumbeta
Wanawake wanavisa (siyo wote) unakuta mkiwa kitandani anakuambia hana hamu na wewe mara unaninii kubwa anaumia mara unataka papuchi kila siku....ukiangalia simu yake unakutana sms za midi na vijamaa vyake ukiuliza unajbiwa shombo tu ,,,,,,,ukimuambia Mamamkwe anakuambia kama umeona ana wanaume wengine mwache mwanangu hukumzaa wewe,,,,,,,,ivi api mpaka magufuli aje akuambie uyo mke ni jibu????
 
Hakuna cha uchagga wala nini...jamaa ni dhaifu tu...how come mke akujie saa 5 usiku.
Huyo ameshaamua, anajua anachokifanya. She is sending him a message. Read between the lines, my brother.
 
Sasa mwanaume unaachaje kumpiga mkeo?

Haipendezi inapita mwaka mzima hujamweka mkeo hata kangeu bana.
Yaani, asingemuuliza kitu, ingekuwa ni adhabu kubwa mno kuliko alivyompiga. Kupiga inaonyesha kuwa una uwezo mdogo waku deal na matatizo. Be tactical!
 

Mwenzio Koffi alimtandika mcheza Dance wake sasa hivi dunia inajua na yupo mikono salama sema tatizo wewe si maarufu...nakushauri uende naye Airport ama sehemu yenye mikusanyiko umtwange tena...unaweza kuwa binamu yake Koffi Olomide!
 

Wakati mwingine huwa kuna haja ya kuwakumbusha wanawake kuwa wapo chini ya utawala wa kiume na kwa kuhakikisha unalisimamia hili ni lazma uoneshe power yako ya kiume kwa kutembeza kichapo mara tu unapoona kuna ulegevu katika utekelezaji wa amri zako kama kiongozi wa ndani ya nyumba.

Jambo la kiburi ni kawaida kwa wanawake wetu wa kiafrika na huwa wanakitumia kama njia yao nyepesi ya kuonesha kwamba kuna walakini fulani ama katika mahusiano ya kindoa au uchumba!

Mara nyingi chanzo kikubwa cha kiburi huwa ni mwanamke kutoridhishwa kimapenzi kwa muda mrefu ama ile hali ya kupuuzwa bila kujali hisia zake swala inayopelekea ukosefu wa furaha na amani ya moyo wake kila akifikiria jinsi unavyomtendea. Kitu kinachofuata huwa ni maamuzi ya kutafuta furaha yake toka mahala pengine na huwa mbaya sana kama atachagua kuwa na mchepuko kama source yake ya furaha, maana ni mara chache sana mwanamke huchagua kitu kingine kama hobbies zake labda.
Kuna mtu alisema mpende mkeo sana na umtimizie sana haja za moyo wake kabla hajaamua kutoa nafasi ya kutimiziwa hayo na mtu mwingine maana anaweza kukusahau kwa speed ya mwendokasi ukashindwa kuamini macho yako hata kama mnaishi nyumba moja na ni wana ndoa. Wengi hulizwa sana mwanamke anapoanza mabadiliko ya ghafla hivi maana hata wakifanyaga hayo maamuzi ni siri yake binafsi na huwezi jua!

Chanzo kidogo cha hali ya kiburi huwa ni utaratibu uliojijengea kuwa na mazoea sana na mke kiasi cha kwamba anaweza akawa anajisahau na hachagui neno la kukwambia. Lolote laweza mtoka mdomoni hata kama halifai (kejeli,matusi) ila kwa kuwa umejijengea mazoea nae hutamkemea utacheka cheka na kuona sawa tu ni utani mwisho wa siku anazoea na kukuona kama shoga yake wa kike, anakudharau vibaya mno mwishowe hata ukitoa amri haziskilizwi tena. Zaidi mtaishia kupingana ngumi kama hivyo.
Ndugu yangu usijisahau kwamba wewe ni kidume na kiongozi always, utani sawa ila sio wa lugha za kejeli na nyinginezo zisizofaa. Hakuna kitu kinacho turnoff mwanamke wa kiafrika kama mwanaume anayeisahau nafasi yake ama anaesomeka akili yake kirahisi na hii huwa rahisi mazoea yakizidi. Mwanamke mfanye rafiki ila ni lazima ujiwekee mipaka kama mwanaume na hii ni kutoruhusu mazoea yaliopitiliza kama nilivyoanisha hapo juu. Mke hatakiwi kuisoma akili yako yote la sivyo utapata shida na mwisho atatoka kutafuta mtu anayeweza kumuongoza vyema huko nje.

mfano wa kauli:-
1.Halafu baba jenny we nawe mmbeyaaaa, ilooooh!
2.Unapenda kudeka kama mwanamke...kioneee!
3.We nawe msumbufu sasa si uchukue mwenyewe maji ya kunywa!
4.Woii kwendraa zako huko, huna lolote teh teh!!!
5.teh teh... hebu achana na mimi uko!

Kwa hayo machache huenda yanaweza kukufungulia pazia uone shida iko wapi mkuu Baba yenu
 
Lazima kutakuwa na sababu za kuwa na kiburi kiasi hicho mfano kuchepuka, kwasababu haiwezekani mke wa ndoa kurudi saa tano za usiku halafu umuulize na kuleta jeuri kiasi hicho, fanya uchunguzi zaidi
 
mzee mwenzangu umenifungua akili ila dah umeifunga sana hii post imeniwia vigumu sana kuielewa...
 
Ndio tabu yetu akiwa mpole unampanda kichwani umvuruge akiwa mkorofi unavumiliwa uonewe huruma hivi wanawake tukoje?.
 
pole sana kwa kilichokupata lakini nadhani kama ni mwanamke muelewa amekuelewa kuwa jambo alilolifanya limekuudhi hivyo amepata funzo kuu. ninachokuomba ni kumsamehe na muendeleze maisha kwani watoto kulelewa na watu wengine ni jambo la fedheha sana kwa watoto....nipo upande wako tatizo la familia si la kupeleka mahala popte kusuruhisha kama ulivyowaacha baba na mama yako ukajenga familia yako hakikisha na matatizo yako unayatatua mwenyewe. hali imebadilika sana unaweza ukaenda kwa ndugu kusuruhisha tatizo lako la kifamilia jioni ukalikuta tatizo lako limebandikwa kama post humu jamiiforums.
 
Mwache alie usimbembeleze..aje aombe msamaha. Sipendi mwanamke akipigwa lakini kama ni kweli kakutukana na kukujibu kunya ni sawa tu.
 
Yan unampiga mkeo na kuja kujisifia jf wewe ni dhaifu na sio mstaarabu na ndio maana huheshimiki ningekua mimi police Ingekhusu hata mwezi mfyujuuuuj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…