Swali zuri akikujibu nitagShobo ni nini kwako?
Swali zuri akikujibu nitagShobo ni nini kwako?
Huyu si ni mtia nia wa TandahimbaBora konde kakataa utumwa
Kwenda tu pale ni SHOBO IN MAMBA OIL CHAFU VOICE.Leo Dodoma kwenye kikao cha CCM wasanii karibia wote walikuwepo ukumbini. Karibia wote walikuwa wamevalia jezi za CCM..Isipokuwa King Kiba, japo katumbuiza ila hakutaka kuvaa jezi ya CCM.. kama yule mtandale ambaye alitupia li suti la kijani kabisa