Leo nimekutana na m-Niger. Napongeza na naunga mkono mapinduzi yalifanywa na Jeshi.

Huyo anakuvua kama samaki na wewe umemeza ndoano mazima. Kuna watu huwa wanakua trained kwa ajili ya kupindua akili za watu.
Ndiyo maana unaweza ukakuta Jasusi anabadilishwa akili kama Mazingaombwe vile na kuanza kuvujisha siri za nchi. Hiyo inaitwa social engineeringNdicho ulicho kutana nacho.
Hamna bana jamaa yuko deep sana halafu ni msomi na umri umeenda nadhani early 50s yuko ulaya toka 1994 anaondoka na kurudi.

Europe is turning right. Mahafidhina yanachukua mamlaka na hayatupendi.

Mfano Sweden ilikuwa very welcoming l. Sasa hivi its turning right. Denmark kama kawaii toka zamani wanabana.
Tatizo la mwafrika ni akili, leo hii am amfukuza Mfaransa utaskia kamkaribisha Mrusi, kumbe wote ndio walewale tu. Binafsi simwamini mtu mweupe wa aina yoyote ile kwenye biashara na mtu mweusi.
Kwa jinsi tulivuo inabidi kuanza kwa kushikwa mkono na kupigwa tafu. Kumbuka hawa weupe toka karne kadhaa walikuwa na wameendelea
 
Hamna bana jamaa yuko deep sana halafu ni msomi na umri umeenda nadhani early 50s yuko ulaya toka 1994 anaondoka na kurudi.

Europe is turning right. Mahafidhina yanachukua mamlaka na hayatupendi.

Mfano Sweden ilikuwa very welcoming l. Sasa hivi its turning right. Denmark kama kawaii toka zamani wanabana.

Kwa jinsi tulivuo inabidi kuanza kwa kushikwa mkono na kupigwa tafu. Kumbuka hawa weupe toka karne kadhaa walikuwa na wameendelea
Ushikwe mkono na nani? Mrusi? Urusi haikutawala Africa siyo sababu inatupenda, ni kwamba haikuwa na uwezo, ilizidiwa kete tu na west ila inachokifanya sasa kwa Africa ni ukoloni tupu, sema ndio hivyo mwafrika akili hana anadhani Urusi anatupenda.
 
Mkuu fikra zangu sasa hivi kuhusu magharibi naanza kuwatilia shaka.

Huyu Mwamba m-Niger amenishauri kitu flani. Niwekeze hasa nyumbani. Europe is going down after ten years sisi migrants foreigners hata ukihodhi passport zao bado tu hali yako itazidi kuwà ngumu.

Mwamba alinichekesha ni bora kufanya urafiki na putin na Wagner kuliko beberu hasa mfaransa.

Wagner hata akikunyonya siyo kivile yeye amekuja kufanya busines. Lakini beberu anakupa masharti ushoga mfumuane marinde ndio mfanye business. Nilicheka balaa.

Anasema ngozi nyeupe yeyote ispokuwa urusi tu hazipandi mwafrika aendelee na ainuke.

Hata mwarabu hapendi. Alinipa mfano ghadaffi alivyokuwa anata kuendeleza afrika kiuchumi kwa kuanzisha central bank of Africa hapo ndio alarming bell ililia kwa wazungu na waarabu. Ikawekwa mkakati lazima afe. Arab spring ikawa blessings in disguise kwao.

Kumbuka hata Qatar alikuwa mstari wa mbele Gaddafi kuuawawa.

Hakuna anayetupenda kabisa duniani angalau kiaina mrusi jamaa alivyokuwa anadai.

Sio magharibi tu, unajua wanyama wanaowindwa kwenye vitalu vya mbuga zenu mnapata nini? Unafahamu sababu hata ya magu kusema bucha za nyama pori walau wananchi wawe wanauziwa mara moja kwa wiki ilitokana na manyati, swala, kwenda kuliwa mbali wakati wenye nchi hawajawahi hata kuonja nyamapori, unajua kwenye gesi ya mtwara unapata nini? Unajua ngorongoro na loliondo kwa nini wenyeji hufukuzwa unadhani ni kukuza utalii? Same like hiyo bandari yako unadhani tutanufaika kama inavohubiriwa? Unajua pesa nchi inayopata kwenye migodi ya dhahabu ambayo tunaachiwa mashimo? Hali ya dunia ya mabepari haijawahi kua na huruma na mtu mweusi haitokuja itokee bepari alikuachia uhuru wa bendera lakini sio uhuru wa kiuchumi,
 
Jamaa anavyoelezea. Hali ya maisha ilivyo ngumu hali ya usalama na njaa uhaba wa chakula wala hawana shida na mapinduzi wanaona labda hawa wanajeshi wataletamadiliko. Hawana cha kupoteza.

Nimeanza kumchukia mfaransa. Ni mchoyo sana na roho mbaya.

Yani hata tu kumpatia Niger euro billion 5 kwa mwaka tu. For 63 years unamnyanganya uranium

France bladifaken
Makaron ni bladifaken,shubamit,kitenes hovyo kabisaaaaaaa
 
Sio magharibi tu, unajua wanyama wanaowindwa kwenye vitalu vya mbuga zenu mnapata nini? Unafahamu sababu hata ya magu kusema bucha za nyama pori walau wananchi wawe wanauziwa mara moja kwa wiki ilitokana na manyati, swala, kwenda kuliwa mbali wakati wenye nchi hawajawahi hata kuonja nyamapori, unajua kwenye gesi ya mtwara unapata nini? Unajua ngorongoro na loliondo kwa nini wenyeji hufukuzwa unadhani ni kukuza utalii? Same like hiyo bandari yako unadhani tutanufaika kama inavohubiriwa? Unajua pesa nchi inayopata kwenye migodi ya dhahabu ambayo tunaachiwa mashimo? Hali ya dunia ya mabepari haijawahi kua na huruma na mtu mweusi haitokuja itokee bepari alikuachia uhuru wa bendera lakini sio uhuru wa kiuchumi,
Afrika yangu ,Nani ameiroga sijui.
 
Tz kama Niger tuna yetu, wao wamechukua hatua vipi sisi?
 
Mzuka wanajamvi!

Nimekutana leo na raia wa Niger. Nakuweza kumuiliza maswali kuhusu maisha na hali ya nchi yao. Japo ilikuwa kwa muda mfupi sana nilijifunza hasa haya mapinduzi.

Ufaransa kusema kweli wana roho mbaya. Wewe fikiria kwa miaka 63 wanachimba uranium Niger hata hawana umeme wanategemea umeme kutoka Nigeria tena siyo wa uhakika. Wakati uranium ya Niger inawasha ulaya. Fikiria tu.

Niger inamafuta hasa mpakani huku karibu na Libya na mafuta Niger, Nigeria, Angola na libya ni yale matamu sweet oil easy to refinary ni tofauti na ya arabuni lakini Niger ni maskini wa kutupwa.

Gaddafi alikuwa tayari kusaidia Niger kabisa hasa kwenye rasilmali zake za mafuta na uranium lakini wakamuua.

Anazichukia sana tawala za Benin na Nigeria.

Nikamuuliza vipi hivi vikwazo Niger wamewekewa si zitawasumbua. Akacheka balaa. Akajibu sasa hata wakiweka vikwazo havitasaidia kwasababu wameshazoea njaa toka zamani hata wakati gamna vikwazo hali ni mbaya. Niger hamna ombaomba wa pesa bali kuna omba omba wa chakula.

Yani hi kitu kimeniuma sana bongo hapa omba omba wanaombaga pesa lakini Niger omba omba wanaombaga chakula tu. INASIKITISHA SANA. Wakati bepari ufaransa anaisafisha nci bila huruma.

Akaniambia Gaddafi na Libya walipgwa vikwazo vya kiuchumi na no fly zone miaka 27 lakini ndio kwanza uchumi wa libya ukaimarika zaidi na zaidi na kupelekea Gaddafi kutaka kuzisaidia nchi za Africa kiuchumi.

Tumebadilishana WhatsApp nataka weekend ijayo tukutane nimuhoji zaidi.

Hizi propaganda tunazolishwa sometimes na western media ni za kuzichuja.

Mwanzoni nilikuwa napinga haya mapinduzi. SASA HIVI NAUNGA MKONO MAPINDUZI YA KIJESHI YA NIGER.
Ukisha kutana naye mara ya pili, mtafute Zito Kabwe mwambie hali halisi ya watu wa Niger na nini wanataka. Sio mtu wa Gwanumpu au Kazulamimba anapiga miayo Eti analaani mapinduzi.
 
Mkuu Bongo ni akili na uvivu tu ndo tatizo letu kubwa. Hiyo Nigeria yenyewe maisha ni magumu mnoo, ndio maana wakija hata hapa huwa hawarudi tena kwao. Na hata wakifanya utapeli huwa wanahamia sehemu ingine na siyo kurudi kwao.
Kuna kitu umechanganya kati ya Niger na Nigeria. Ni chi mbili tofauti mkuu.
 
Kuna kitu umechanganya kati ya Niger na Nigeria. Ni chi mbili tofauti mkuu.
Sijachanganya Mkuu, naelewa vizuri sana. Maana kuna wabongo huwa wanadhani hata Nigeria mambo mazuri, kumbe maisha yako ni mtiti kwelikweli
 
Ndo maana Rwanda waliwakacha. Pia Togo wanawakacha. Togo wameomba kabisa kuingia common wealth.

Jamaa alinigusia jinsi ufaransa ilivyomnyanfanya Ujerumani kutoka Togo. Baadaye Togo kuchuliwa ardi yake kubwa na Ghana kupitia uingereza.

Anaomba kabisa Nchi inayofuatia kwa mapinduzi iwe Benin.
Hao benin ndio best sellout namba moja africa

Imagine hadi cement wanaagiza china ilhali jirani yao nigeria dangote anazalisha cement ya kutosha.
 
Ushikwe mkono na nani? Mrusi? Urusi haikutawala Africa siyo sababu inatupenda, ni kwamba haikuwa na uwezo, ilizidiwa kete tu na west ila inachokifanya sasa kwa Africa ni ukoloni tupu, sema ndio hivyo mwafrika akili hana anadhani Urusi anatupenda.
Hapa kinachotafutwa ni fairness ya kufanya biashara na sio kupendwa hta mwarabu akiwa fair twende nae.
 
Mkuu fikra zangu sasa hivi kuhusu magharibi naanza kuwatilia shaka.

Huyu Mwamba m-Niger amenishauri kitu flani. Niwekeze hasa nyumbani. Europe is going down after ten years sisi migrants foreigners hata ukihodhi passport zao bado tu hali yako itazidi kuwà ngumu.

Mwamba alinichekesha ni bora kufanya urafiki na putin na Wagner kuliko beberu hasa mfaransa.

Wagner hata akikunyonya siyo kivile yeye amekuja kufanya busines. Lakini beberu anakupa masharti ushoga mfumuane marinde ndio mfanye business. Nilicheka balaa.

Anasema ngozi nyeupe yeyote ispokuwa urusi tu hazipandi mwafrika aendelee na ainuke.

Hata mwarabu hapendi. Alinipa mfano ghadaffi alivyokuwa anata kuendeleza afrika kiuchumi kwa kuanzisha central bank of Africa hapo ndio alarming bell ililia kwa wazungu na waarabu. Ikawekwa mkakati lazima afe. Arab spring ikawa blessings in disguise kwao.

Kumbuka hata Qatar alikuwa mstari wa mbele Gaddafi kuuawawa.

Hakuna anayetupenda kabisa duniani angalau kiaina mrusi jamaa alivyokuwa anadai.
Russia katawala wapi mpk muamini wao ni wema ? Je ya Ukraine , Georgia , Moldova na Beralus hamuyaon ? Kwamba urusi ina wapenda sana nyiny kuliko ndugu zao hao ambao imewaua na inaendelea wauawa , AMKENI MAENDELEO HULETEW NA JIRAN
 
Tatizo la mwafrika ni akili, leo hii anamfukuza Mfaransa utaskia kamkaribisha Mrusi, kumbe wote ndio walewale tu. Binafsi simwamini mtu mweupe wa aina yoyote ile kwenye biashara na mtu mweusi.
Sisi kichwani ni bogus baada ya miaka 30 wajukuu zetu watakuwa wanamsifia mfaransa na kumrudisha baada ya urusi kuwa mstari wa mbele kwenye maamuzi ya hizo nchi km afanyavyo huko Beralus
 
Hamna bana jamaa yuko deep sana halafu ni msomi na umri umeenda nadhani early 50s yuko ulaya toka 1994 anaondoka na kurudi.

Europe is turning right. Mahafidhina yanachukua mamlaka na hayatupendi.

Mfano Sweden ilikuwa very welcoming l. Sasa hivi its turning right. Denmark kama kawaii toka zamani wanabana.

Kwa jinsi tulivuo inabidi kuanza kwa kushikwa mkono na kupigwa tafu. Kumbuka hawa weupe toka karne kadhaa walikuwa na wameendelea
Km kila kitengo watu wanaweka ela mfukoni basi hata mshikwe makalio hamuend popote
 
Back
Top Bottom