Leo nimekutana na m-Niger. Napongeza na naunga mkono mapinduzi yalifanywa na Jeshi.

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,717
29,074
Mzuka wanajamvi!

Nimekutana leo na raia wa Niger. Nakuweza kumuiliza maswali kuhusu maisha na hali ya nchi yao. Japo ilikuwa kwa muda mfupi sana nilijifunza hasa haya mapinduzi.

Ufaransa kusema kweli wana roho mbaya. Wewe fikiria kwa miaka 63 wanachimba uranium Niger hata hawana umeme wanategemea umeme kutoka Nigeria tena siyo wa uhakika. Wakati uranium ya Niger inawasha ulaya. Fikiria tu.

Niger inamafuta hasa mpakani huku karibu na Libya na mafuta Niger, Nigeria, Angola na libya ni yale matamu sweet oil easy to refinary ni tofauti na ya arabuni lakini Niger ni maskini wa kutupwa.

Gaddafi alikuwa tayari kusaidia Niger kabisa hasa kwenye rasilmali zake za mafuta na uranium lakini wakamuua.

Anazichukia sana tawala za Benin na Nigeria.

Nikamuuliza vipi hivi vikwazo Niger wamewekewa si zitawasumbua. Akacheka balaa. Akajibu sasa hata wakiweka vikwazo havitasaidia kwasababu wameshazoea njaa toka zamani hata wakati gamna vikwazo hali ni mbaya. Niger hamna ombaomba wa pesa bali kuna omba omba wa chakula.

Yani hi kitu kimeniuma sana bongo hapa omba omba wanaombaga pesa lakini Niger omba omba wanaombaga chakula tu. INASIKITISHA SANA. Wakati bepari ufaransa anaisafisha nci bila huruma.

Akaniambia Gaddafi na Libya walipgwa vikwazo vya kiuchumi na no fly zone miaka 27 lakini ndio kwanza uchumi wa libya ukaimarika zaidi na zaidi na kupelekea Gaddafi kutaka kuzisaidia nchi za Africa kiuchumi.

Tumebadilishana WhatsApp nataka weekend ijayo tukutane nimuhoji zaidi.

Hizi propaganda tunazolishwa sometimes na western media ni za kuzichuja.

Mwanzoni nilikuwa napinga haya mapinduzi. SASA HIVI NAUNGA MKONO MAPINDUZI YA KIJESHI YA NIGER.
 
Pia nilishangaa huyu mwamba kuniambia billionea Dankote asili yake mababu zake ni Niger. Sani Abacha dikteta wa zamani asili yake Niger. Marehem Yar Aduwa aliyekuwa rais wa Nigeria asili yake Niger. Mwamba Buhari asili yake Niger. Hata Atilo Abubakar. Ni zile jamii na koo za fulani.
 
Kama wananchi hawaandamani means wameridhika
Jamaa anavyoelezea. Hali ya maisha ilivyo ngumu hali ya usalama na njaa uhaba wa chakula wala hawana shida na mapinduzi wanaona labda hawa wanajeshi wataletamadiliko. Hawana cha kupoteza.

Nimeanza kumchukia mfaransa. Ni mchoyo sana na roho mbaya.

Yani hata tu kumpatia Niger euro billion 5 kwa mwaka tu. For 63 years unamnyanganya uranium

France bladifaken
 
Ufaransa walimuua Gadafi kwa msaada wa USA huku watawala wa hawakupeleka majeshi libya kumsaidia Gadafi Leo sijui ECOWAS anapata wapi kiherehere Cha kutaka kuingilia nchi huru.
 
Sasa ulivokua unapinga mapinduzi wakati nakuelewesha umuhimu wa mapinduzi ya kijeshi ulikua na maana gani?
 
Mzuka wanajamvi!

Nimekutana leo na raia wa Niger. Nakuweza kumuiliza maswali kuhusu maisha na hali ya nchi yao. Japo ilikuwa kwa muda mfupi sana nilijifunza hasa haya mapinduzi.

Ufaransa kusema kweli wana roho mbaya. Wewe fikiria kwa miaka 63 wanachimba uranium Niger hata hawana umeme wanategemea umeme kutoka Nigeria tena siyo wa uhakika. Wakati uranium ya Niger inawasha ulaya. Fikiria tu.

Niger inamafuta hasa mpakani huku karibu na Libya na mafuta Niger, Nigeria, Angola na libya ni yale matamu sweet oil easy to refinary ni tofauti na ya arabuni lakini Niger ni maskini wa kutupwa.

Gaddafi alikuwa tayari kusaidia Niger kabisa hasa kwenye rasilmali zake za mafuta na uranium lakini wakamuua.

Anazichukia sana tawala za Benin na Nigeria.

Nikamuuliza vipi hivi vikwazo Niger wamewekewa si zitawasumbua. Akacheka balaa. Akajibu sasa hata wakiweka vikwazo havitasaidia kwasababu wameshazoea njaa toka zamani hata wakati gamna vikwazo hali ni mbaya. Niger hamna ombaomba wa pesa bali kuna omba omba wa chakula.

Yani hi kitu kimeniuma sana bongo hapa omba omba wanaombaga pesa lakini Niger omba omba wanaombaga chakula tu. INASIKITISHA SANA. Wakati bepari ufaransa anaisafisha nci bila huruma.

Akaniambia Gaddafi na Libya walipgwa vikwazo vya kiuchumi na no fly zone miaka 27 lakini ndio kwanza uchumi wa libya ukaimarika zaidi na zaidi na kupelekea Gaddafi kutaka kuzisaidia nchi za Africa kiuchumi.

Tumebadilishana WhatsApp nataka weekend ijayo tukutane nimuhoji zaidi.

Hizi propaganda tunazolishwa sometimes na western media ni za kuzichuja.

Mwanzoni nilikuwa napinga haya mapinduzi. SASA HIVI NAUNGA MKONO MAPINDUZI YA KIJESHI YA NIGER.
Sasa mkuu ni kazi ya ufaransa kupelek umeme niger?
 
Ila twende koote, ufaransa ni hovyo sana ile nchi na ni makatili sana. Wana Policy za hovyo sana juu ya Afrika Ukiangalia yote yaliyokua Makoloni yake hakuna hata moja ambalo lipo stable, yote ni hovyo tu.
 
Sasa ulivokua unapinga mapinduzi wakati nakuelewesha umuhimu wa mapinduzi ya kijeshi ulikua na maana gani?
Mkuu fikra zangu sasa hivi kuhusu magharibi naanza kuwatilia shaka.

Huyu Mwamba m-Niger amenishauri kitu flani. Niwekeze hasa nyumbani. Europe is going down after ten years sisi migrants foreigners hata ukihodhi passport zao bado tu hali yako itazidi kuwà ngumu.

Mwamba alinichekesha ni bora kufanya urafiki na putin na Wagner kuliko beberu hasa mfaransa.

Wagner hata akikunyonya siyo kivile yeye amekuja kufanya busines. Lakini beberu anakupa masharti ushoga mfumuane marinde ndio mfanye business. Nilicheka balaa.

Anasema ngozi nyeupe yeyote ispokuwa urusi tu hazipandi mwafrika aendelee na ainuke.

Hata mwarabu hapendi. Alinipa mfano ghadaffi alivyokuwa anata kuendeleza afrika kiuchumi kwa kuanzisha central bank of Africa hapo ndio alarming bell ililia kwa wazungu na waarabu. Ikawekwa mkakati lazima afe. Arab spring ikawa blessings in disguise kwao.

Kumbuka hata Qatar alikuwa mstari wa mbele Gaddafi kuuawawa.

Hakuna anayetupenda kabisa duniani angalau kiaina mrusi jamaa alivyokuwa anadai.
 
Ila twende koote, ufaransa ni hovyo sana ile nchi na ni makatili sana. Wana Policy za hovyo sana juu ya Afrika Ukiangalia yote yaliyokua Makoloni yake hakuna hata moja ambalo lipo stable, yote ni hovyo tu.
Ndo maana Rwanda waliwakacha. Pia Togo wanawakacha. Togo wameomba kabisa kuingia common wealth.

Jamaa alinigusia jinsi ufaransa ilivyomnyanfanya Ujerumani kutoka Togo. Baadaye Togo kuchuliwa ardi yake kubwa na Ghana kupitia uingereza.

Anaomba kabisa Nchi inayofuatia kwa mapinduzi iwe Benin.
 
Mzuka wanajamvi!

Nimekutana leo na raia wa Niger. Nakuweza kumuiliza maswali kuhusu maisha na hali ya nchi yao. Japo ilikuwa kwa muda mfupi sana nilijifunza hasa haya mapinduzi.

Ufaransa kusema kweli wana roho mbaya. Wewe fikiria kwa miaka 63 wanachimba uranium Niger hata hawana umeme wanategemea umeme kutoka Nigeria tena siyo wa uhakika. Wakati uranium ya Niger inawasha ulaya. Fikiria tu.

Niger inamafuta hasa mpakani huku karibu na Libya na mafuta Niger, Nigeria, Angola na libya ni yale matamu sweet oil easy to refinary ni tofauti na ya arabuni lakini Niger ni maskini wa kutupwa.

Gaddafi alikuwa tayari kusaidia Niger kabisa hasa kwenye rasilmali zake za mafuta na uranium lakini wakamuua.

Anazichukia sana tawala za Benin na Nigeria.

Nikamuuliza vipi hivi vikwazo Niger wamewekewa si zitawasumbua. Akacheka balaa. Akajibu sasa hata wakiweka vikwazo havitasaidia kwasababu wameshazoea njaa toka zamani hata wakati gamna vikwazo hali ni mbaya. Niger hamna ombaomba wa pesa bali kuna omba omba wa chakula.

Yani hi kitu kimeniuma sana bongo hapa omba omba wanaombaga pesa lakini Niger omba omba wanaombaga chakula tu. INASIKITISHA SANA. Wakati bepari ufaransa anaisafisha nci bila huruma.

Akaniambia Gaddafi na Libya walipgwa vikwazo vya kiuchumi na no fly zone miaka 27 lakini ndio kwanza uchumi wa libya ukaimarika zaidi na zaidi na kupelekea Gaddafi kutaka kuzisaidia nchi za Africa kiuchumi.

Tumebadilishana WhatsApp nataka weekend ijayo tukutane nimuhoji zaidi.

Hizi propaganda tunazolishwa sometimes na western media ni za kuzichuja.

Mwanzoni nilikuwa napinga haya mapinduzi. SASA HIVI NAUNGA MKONO MAPINDUZI YA KIJESHI YA NIGER.
sawa ila hiyo salamu, usiitumie hapa Jf hakuna mizuka.
 
Mkuu fikra zangu sasa hivi kuhusu magharibi naanza kuwatilia shaka.

Huyu Mwamba m-Niger amenishauri kitu flani. Niwekeze hasa nyumbani. Europe is going down after ten years sisi migrants foreigners hata ukihodhi passport zao bado tu hali yako itazidi kuwà ngumu.

Mwamba alinichekesha ni bora kufanya urafiki na putin na Wagner kuliko beberu hasa mfaransa.

Wagner hata akikunyonya siyo kivile yeye amekuja kufanya busines. Lakini beberu anakupa masharti ushoga mfumuane marinde ndio mfanye business. Nilicheka balaa.

Anasema ngozi nyeupe yeyote ispokuwa urusi tu hazipandi mwafrika aendelee na ainuke.

Hata mwarabu hapendi. Alinipa mfano ghadaffi alivyokuwa anata kuendeleza afrika kiuchumi kwa kuanzisha central bank of Africa hapo ndio alarming bell ililia kwa wazungu na waarabu. Ikawekwa mkakati lazima afe. Arab spring ikawa blessings in disguise kwao.

Kumbuka hata Qatar alikuwa mstari wa mbele Gaddafi kuuawawa.

Hakuna anayetupenda kabisa duniani angalau kiaina mrusi jamaa alivyokuwa anadai.
Huyo anakuvua kama samaki na wewe umemeza ndoano mazima. Kuna watu huwa wanakua trained kwa ajili ya kupindua akili za watu.
Ndiyo maana unaweza ukakuta Jasusi anabadilishwa akili kama Mazingaombwe vile na kuanza kuvujisha siri za nchi. Hiyo inaitwa social engineeringNdicho ulicho kutana nacho.
 
Ndo maana Rwanda waliwakacha. Pia Togo wanawakacha. Togo wameomba kabisa kuingia common wealth.

Jamaa alinigusia jinsi ufaransa ilivyomnyanfanya Ujerumani kutoka Togo. Baadaye Togo kuchuliwa ardi yake kubwa na Ghana kupitia uingereza.

Anaomba kabisa Nchi inayofuatia kwa mapinduzi iwe Benin.
Never trust Rwanda when it comes to French. Kumbe wewe bado mdogo?
 
Main steam media kills alot, ndio maana niliacha kuangalia habari sababu wanapotosha watu Hali ya juu.
Mwanzoni mwa mwaka huu wakati kimbunga freedy kinapiga Mozambique na baadhi ya maeneo ya Malawi nilikua katika mji wa Blantyre na Hali haikua mbaya sana kiihivyo lakini jinsi wana habari na propaganda zao walivyokua wana ripoti ilikua ni kitu chengine kabisa.
Lengo la habari ni kutia watu hofu tu.
Rejea 4 Ds of mass media.
Diseases.
Disaster.
Destruction.
Death.
 
Jamaa anavyoelezea. Hali ya maisha ilivyo ngumu hali ya usalama na njaa uhaba wa chakula wala hawana shida na mapinduzi wanaona labda hawa wanajeshi wataletamadiliko. Hawana cha kupoteza.

Nimeanza kumchukia mfaransa. Ni mchoyo sana na roho mbaya.

Yani hata tu kumpatia Niger euro billion 5 kwa mwaka tu. For 63 years unamnyanganya uranium

France bladifaken
Tatizo la mwafrika ni akili, leo hii anamfukuza Mfaransa utaskia kamkaribisha Mrusi, kumbe wote ndio walewale tu. Binafsi simwamini mtu mweupe wa aina yoyote ile kwenye biashara na mtu mweusi.
 
Back
Top Bottom