Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,640
- 4,447
Nilijiunga na jf mwaka 2014 baada ya mwenzi nikasahau password zangu nikawa nazifikiri atimaye leo nimezikumbuka nikaribishe
Itakuwa ametoa sadakaPole sana kwa mkasa uliokukuta ila angalia siku moja usije sahau password za benki
AsanteHongera, bas karibu tena
Benki siwezi kusahau ata nikipoteza kumbukumbuPole sana kwa mkasa uliokukuta ila angalia siku moja usije sahau password za benki
kwa hiyo ndio ukafungua ile i.d nyingine ya innocentkirumbuyo ?Nilijiunga na jf mwaka 2014 baada ya mwenzi nikasahau password zangu nikawa nazifikiri atimaye leo nimezikumbuka nikaribishe
Itakuwa ametoa sadaka
Benki siwezi kusahau ata nikipoteza kumbukumbu
Innocent kirumbuyo ni mwinginekwa hiyo ndio ukafungua ile i.d nyingine ya innocentkirumbuyo ?
Umri tenaYaani miaka 2 ulikuwa una retrieve data duh! we kweli noma. Siku nyingine password yako weka umri wako wa kuzaliwa kama wanavyofanya kwenye tigo pesa.