hahaha .......kwahiyo unamshauri aanze kuvaa siketi na brauzi .......kweli atahongwa ata zaidi ya hammer old modelKuwa mdada na wewe utaliendesha hata kulimiliki pia dont worry,mateso tuachie sisi wanaume.
umejidharau kwalipi? badili jinsia utapata Maisha mtelemuka......avoid cheap mind plz.Hata mm Leo wakati naenda kazini nimepanda Costa sijapata seat nikiwa nimeshikilia bomba tulipofika mataa gari ikasimama pembeni ikapaki range rover g wagon i kiwa na kadada ambaye umri Hawez zidi miaka 25 asee nimejidharau sana
Hii misemo ya kwenye vitabu ni kujipa moyo,ila wakati mwingine unaona kabisa hapa hata nifanyeje sitoboi.Hata ukitaka Rolls-Royce "Ghost" utapata ni wewe tu ukipambana na hali yako
Man's minds have no limit, only man himself limit it.
GO!!!!!!!!! and get it
Pambana kaka nothing is impossible.... lakini mtoto wa kike asikuumize sana unless unamjua vizuri
Wagon haiwezi kuwa latest mkuu , vipi kuhusu range rover velar..!??Kama ile ya manji Google utaipata ndo latest version
Hii misemo ya kwenye vitabu ni kujipa moyo,ila wakati mwingine unaona kabisa hapa hata nifanyeje sitoboi.
Mfano rahisi tu, unafikiri hapo ulipo unaweza kuwa ama kumzidi Dangote..!??
Hapo lazima ukiri kuwa kila mmoja ana ukomo wake.
It doesn't matter, the issue is limits are there whether you accept or not. If I asks why you are there and not where you wish,I don't think if you can give tangible answer away from the term limits.Where I am now! from where I used to be, why not??
Kuridhika sina maana tusitafute vitu vizuri kama hivyo, kuridhika nilimaanisha si vizuri kujilinganisha ( compare ) na mtu mwingine kiasi cha kujidharau mwenyeweNdiyo mkuu! Ila nitakubali baada ya kushindwa aisei..!
Kwa mtu kuendesha gari unajidharau hat a hujui background yake shida na chagamoto anazo pata unaanza kujidharau hivhivi plz avoid to be cheap. usione watu wana cruissing.......look behind the curtainMkuu, kujidharau ni kujiona juhudi unazofanya hazijatosha hivyo lazima kuongeza juhudi.
Wanadamu tunafanana siku ya kufa tu uwe tajiri,maskini etc wote Tunazikwa kwenye udongo mmoja ambao unafananaNdiyo, hivyo maisha kabla ya kufa kuwa na ndoto nyingi uwezavyo zitakoma siku umekufa mkuu.
Wanavotuambia hivo utadhani huko nyuma hatukupambana na hali zetu!pambana na hali yako MSEMO SIUPENDI HUU