Leo nimejua hakuna watu wanaotamani kukaa Kenya kama wabongo.

Msenge wewe unadhani mtanzania apigwe nini wapuuzi mbona mmejaa huku kwetu na mnadhiki nyingi tu tunawastiri
 
Sio eti nakubaliana na Jaguar maana Wabunge nui watu wa kuropokwa ovyo ila jambo ndogo kama hilo Wabongo wameijadili hadi wamesummon Ambassador wa Kenya kwao ajibu maswali. Cha kushangaza nchi zingine zimelipuuza jambo hilo kama kitu kisicho na maana. Wabongo ndio wanaosumbuliwa tu. Kweli Wabongo wanaitamani Kenya.
.
Screenshot_20190626-132805_Facebook.jpeg
 
Hamna nchi yenye wakarimu kama tz wakenya kaa mkijua, na ilo alilozungumza uyo ngwangwa jaguar hana akili kabisa si inatuuma hatuwez kaa na kitu rohoni maana hatuna kisasi mwenye kisas ananyamaza ila jibu lake utaisoma namba
 
Hakuna mtanzania wa kuililia kenya yenye kila taabu aache kulilia Tanzania yenye neema,
Wewe ni ngome wa Museveni kabisa.Wadanganyika wanaopika binadamu kama kitoweo nani aishi karibu na wao.I would rather live in Yemen than Danganyika.hakuna neema mko nayo,ni kuumia mnaumia kindani.Pugah
 
Kamuulize mbunge wako ,yeye ndio ana data kamili na ndio maana imemuuma halafu ndugu zako kibao tu wakawa wanashangilia
Hawa ni omba omba ,watu wa kupika chapati barabarani usiku ili wale midanganyika wa kusafisha choo ya council waweze kupata chapati usiku…….
 
Tunawalia taiming ili nasi tuwafukuze huku mmejaa kibao mahotelini na sijui ile Unilever tunaifunga.
And from then on your economy falls to Haiti's level,Tumeshikilia huo uchumi wenu.We wouldn't feel a thing if you are in here or Not.
 
Hawa ni omba omba ,watu wa kupika chapati barabarani usiku ili wale midanganyika wa kusafisha choo ya council waweze kupata chapati usiku…….
Mbunge wako anasema watanzania tumewashinda wakenya kiubunifu kiasi kwamba hamuwez compete nasi.dawa pekee ya kutushinda ni kutupiga tu
 
Mimi Kila siku nasema hapa,wakenya na watz wote hamna kitu,kazi kushambuliana mitandaoni Kila wakati
 
Ndo mpaka mnalalamika? Hebu Acha utani basi.watz wameshika biashara zenu zote ndo maana mnataka kuwafukuza
Mbunge akilalamika sio kila my. Afu nimuulize Ina maana Watanzania wameshikilia biashara za Wasauthi Afrika ndi maana wakauawa?

Na je Vile ule Mwanadada wetu Mulinge alipokataliwa stakabadhi ajiunge na na Vodafone/Vodacom Tz na Nchi Nzima hata Jiwe?
 
Sio eti nakubaliana na Jaguar maana Wabunge nui watu wa kuropokwa ovyo ila jambo ndogo kama hilo Wabongo wameijadili hadi wamesummon Ambassador wa Kenya kwao ajibu maswali. Cha kushangaza nchi zingine zimelipuuza jambo hilo kama kitu kisicho na maana. Wabongo ndio wanaosumbuliwa tu. Kweli Wabongo wanaitamani Kenya. 😂 😂 😂
Hujaangalia uwezekano kwamba huenda wabongo wanapenda comedy za bei rahisi, na Jaguar ni msanii.
 
Kwanza kabisa hadi umeleta huu uzi ni kuonesha kuwa unakubaliana na Xenophobia 100% alafu mbongo gani atamani kuishi kwenye home of tribalism and xenophobia
Mi skuchochii i Support the Xenophobia100% Na si mi pekee 98% of kenyans do,Jaguar just spoke on our behalf
 
Back
Top Bottom