Hapo bado haujatubu,,ingependeza kama ungemweleza mke wako pamoja na mme wa huyo mchepuko wako,,ndipo uungame hayo makosa yako,,..Baada ya kuwa nachepuka kwa muda mrefu leo nahacha lasmi na mke wangu naomba anisamehe leo nikiwa guest tena na mke wa mtu roho imeniuma sana nikawaza inakuaje kama ni mke wangu akifanyiwa ivo nikaisi nitaumia sana afu kingine yule mke wa mtu ana mimba ambayo hana uhakika kama niya jamaa ake au ya kwangu ivo imeniuma zaidi baada ya kuwaza jamaa anaweza kulea mtoto asiye wake .nimemwambia mazoea sitaki tena japo hajakubali lkn ndo ivo nafsi inanisuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa kujaribu mkuu!Mwanaume anayejitambua huwa hachepuki.
A real man always focus on struggling for betterment of his family, and he always think about his wife, and children.
Wewe ni miongoni mwa wanaume wenye ZIPU mbovu, haifungi. Subiri Karma.
This world is full of evilsBaada ya kuwa nachepuka kwa muda mrefu leo nahacha lasmi na mke wangu naomba anisamehe leo nikiwa guest tena na mke wa mtu roho imeniuma sana nikawaza inakuaje kama ni mke wangu akifanyiwa ivo nikaisi nitaumia sana afu kingine yule mke wa mtu ana mimba ambayo hana uhakika kama niya jamaa ake au ya kwangu ivo imeniuma zaidi baada ya kuwaza jamaa anaweza kulea mtoto asiye wake .nimemwambia mazoea sitaki tena japo hajakubali lkn ndo ivo nafsi inanisuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kuwa nachepuka kwa muda mrefu leo nahacha lasmi na mke wangu naomba anisamehe leo nikiwa guest tena na mke wa mtu roho imeniuma sana nikawaza inakuaje kama ni mke wangu akifanyiwa ivo nikaisi nitaumia sana afu kingine yule mke wa mtu ana mimba ambayo hana uhakika kama niya jamaa ake au ya kwangu ivo imeniuma zaidi baada ya kuwaza jamaa anaweza kulea mtoto asiye wake .nimemwambia mazoea sitaki tena japo hajakubali lkn ndo ivo nafsi inanisuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unajidanganya mkeo hachepuki nakupa pole sana...Baada ya kuwa nachepuka kwa muda mrefu leo nahacha lasmi na mke wangu naomba anisamehe leo nikiwa guest tena na mke wa mtu roho imeniuma sana nikawaza inakuaje kama ni mke wangu akifanyiwa ivo nikaisi nitaumia sana afu kingine yule mke wa mtu ana mimba ambayo hana uhakika kama niya jamaa ake au ya kwangu ivo imeniuma zaidi baada ya kuwaza jamaa anaweza kulea mtoto asiye wake .nimemwambia mazoea sitaki tena japo hajakubali lkn ndo ivo nafsi inanisuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mkewe pia anabadilishana uzoefu na mzinzi mwenzie.Kama uko na mke wa mtu hapo hauchepuki ni mnabadilishana uzoefu.
Hahahahaha. Una mawazo mmbonyeo weweKama uko na mke wa mtu hapo hauchepuki ni mnabadilishana uzoefu.
HahahaBaada ya kuwa nachepuka kwa muda mrefu leo naacha rasmi na mke wangu naomba anisamehe leo nikiwa guest tena na mke wa mtu roho imeniuma sana nikawaza inakuaje kama ni mke wangu akifanyiwa hivo nikahisi nitaumia sana alafu kingine yule mke wa mtu ana mimba ambayo hana uhakika kama ni ya jamaa yake au ya kwangu hivo imeniuma zaidi baada ya kuwaza jamaa anaweza kulea mtoto asiye wake.
Nimemwambia mazoea sitaki tena japo hajakubali lkn ndo ivo nafsi inanisuta
Sent using Jamii Forums mobile app