Leo nimechepuka mara ya mwisho

Leo nimechepuka mara ya mwisho

Baada ya kuwa nachepuka kwa muda mrefu leo nahacha lasmi na mke wangu naomba anisamehe leo nikiwa guest tena na mke wa mtu roho imeniuma sana nikawaza inakuaje kama ni mke wangu akifanyiwa ivo nikaisi nitaumia sana afu kingine yule mke wa mtu ana mimba ambayo hana uhakika kama niya jamaa ake au ya kwangu ivo imeniuma zaidi baada ya kuwaza jamaa anaweza kulea mtoto asiye wake .nimemwambia mazoea sitaki tena japo hajakubali lkn ndo ivo nafsi inanisuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo bado haujatubu,,ingependeza kama ungemweleza mke wako pamoja na mme wa huyo mchepuko wako,,ndipo uungame hayo makosa yako,,..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakaribia kufa bro

NJOO KWA YESU HARAKA UTUBU ATAKUSAMEHE,

na uanze maisha mapya

sent from servant of God
 
MKUU, AFADHALI WEWE UMEACHA, ILA MKEO HAJUI ANAANZAJE KUACHA? NAKUSHAURI UKIFIKA HOME MWAMBIE MKEO UMEACHA KUCHEPUKA RASMI NA UMSHAURI NA YEYE AACHE.
 
Mwanaume anayejitambua huwa hachepuki.

A real man always focus on struggling for betterment of his family, and he always think about his wife, and children.

Wewe ni miongoni mwa wanaume wenye ZIPU mbovu, haifungi. Subiri Karma.
Hongera kwa kujaribu mkuu!
 
Baada ya kuwa nachepuka kwa muda mrefu leo nahacha lasmi na mke wangu naomba anisamehe leo nikiwa guest tena na mke wa mtu roho imeniuma sana nikawaza inakuaje kama ni mke wangu akifanyiwa ivo nikaisi nitaumia sana afu kingine yule mke wa mtu ana mimba ambayo hana uhakika kama niya jamaa ake au ya kwangu ivo imeniuma zaidi baada ya kuwaza jamaa anaweza kulea mtoto asiye wake .nimemwambia mazoea sitaki tena japo hajakubali lkn ndo ivo nafsi inanisuta

Sent using Jamii Forums mobile app
This world is full of evils
 
Unachepuka dry kwel mna mapenz mubashara
 
Kama unajidanganya mkeo hachepuki nakupa pole sana...

We bora uamue kuacha tu, sisi tutaendelea kukusaidia...
 
Baada ya kuwa nachepuka kwa muda mrefu leo naacha rasmi na mke wangu naomba anisamehe leo nikiwa guest tena na mke wa mtu roho imeniuma sana nikawaza inakuaje kama ni mke wangu akifanyiwa hivo nikahisi nitaumia sana alafu kingine yule mke wa mtu ana mimba ambayo hana uhakika kama ni ya jamaa yake au ya kwangu hivo imeniuma zaidi baada ya kuwaza jamaa anaweza kulea mtoto asiye wake.

Nimemwambia mazoea sitaki tena japo hajakubali lkn ndo ivo nafsi inanisuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha
 
Back
Top Bottom