Leo nimechepuka mara ya mwisho

Leo nimechepuka mara ya mwisho

..Mzinifu mwanaume haoi ila mzinifu mwenzie mwanamke au mshirikina...vile vile mzinifu mwanamke haolewi ila na mzinifu mwanaume au mshirikina....so ukizini ujue naye mkeo watu wanamzini sana sana sema ujagundua tu....jipange
 
Bado naendelea kusisitiza....
Hizi ID zilizo anzia May 2017 ni janga la jf
 
dah!! haya mambo bahna ukute ww unamla mkeo kistaarabu wenzio nje wanakula tigo katika michepuko huko
 
Mmmh huku sijui nimeingia kwa wakubwaa? Hebu ngoja nipite 2 kimya kimya
 
Baada ya kuwa nachepuka kwa muda mrefu leo nahacha lasmi na mke wangu naomba anisamehe leo nikiwa guest tena na mke wa mtu roho imeniuma sana nikawaza inakuaje kama ni mke wangu akifanyiwa ivo nikaisi nitaumia sana afu kingine yule mke wa mtu ana mimba ambayo hana uhakika kama niya jamaa ake au ya kwangu ivo imeniuma zaidi baada ya kuwaza jamaa anaweza kulea mtoto asiye wake .nimemwambia mazoea sitaki tena japo hajakubali lkn ndo ivo nafsi inanisuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora uhache kabla haijaleta balaa
 
Mwanaume anayejitambua huwa hachepuki.

A real man always focus on struggling for betterment of his family, and he always think about his wife, and children.

Wewe ni miongoni mwa wanaume wenye ZIPU mbovu, haifungi. Subiri Karma.
Mhhhh!!!
 
Sometimes kuna vitu/huduma hawapati huko kwa watu wao ..ndo unakuta automatic....


Mahondaw wa Smart911


Mwisho wa siku unazoa ya kuzoa...

Binafsi sipendi kuona mwanaume wangu ana mazoea zoea na wake za watu au maduu tu yani nachukia sana


Mahondaw wa Smart911
Hahaha.... I know you very well...
 
Sometimes sisi wanawake wenyewe ndo tunajiweka kihasara hasara kwa wame za watu... Wengine no way ni kukukula tyu..


Hapa kazini mtaani nimeshuhudia sana..


Mahondaw wa Smart911
Kuna wanawake hawana soni wala aibu... Yani atakufanyia vimbwanga vyote...
 
Back
Top Bottom