Leo nimechepuka mara ya mwisho

Leo nimechepuka mara ya mwisho

Mwanaume anayejitambua huwa hachepuki.

A real man always focus on struggling for betterment of his family, and he always think about his wife, and children.

Wewe ni miongoni mwa wanaume wenye ZIPU mbovu, haifungi. Subiri Karma.

-Ndumilakuwili-
 
Baada ya kuwa nachepuka kwa muda mrefu leo nahacha lasmi na mke wangu naomba anisamehe leo nikiwa guest tena na mke wa mtu roho imeniuma sana nikawaza inakuaje kama ni mke wangu akifanyiwa ivo nikaisi nitaumia sana afu kingine yule mke wa mtu ana mimba ambayo hana uhakika kama niya jamaa ake au ya kwangu ivo imeniuma zaidi baada ya kuwaza jamaa anaweza kulea mtoto asiye wake .nimemwambia mazoea sitaki tena japo hajakubali lkn ndo ivo nafsi inanisuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Dhuluma hii lazima ulipwe hapa hapa duniani kwa kuziniwa mkeo hii ni ahadi ya mungu kwa waja wake na hakika ataziniwa kabla hujafa jiandae kupokea mrejesho wa dhambi zako
 
Hivi mkuu ukishakojoa kwa mchepuko unajiona mshindi? Fala ? Au mpuuzi fulani hivi mbunye ina mcontrol? Wenzio wanafanya kazi we upo unakatikia uke halafu utasema maisha magumu
Mapema hii eti mtu tayari kazini tena mke wa mtu!!
Inaonyesha siku ya leo aliitenga kwa uzinzi!!!
 
Sometimes kuna vitu/huduma hawapati huko kwa watu wao ..ndo unakuta automatic....

Mahondaw wa Smart911

Mwisho wa siku unazoa ya kuzoa...

Binafsi sipendi kuona mwanaume wangu ana mazoea zoea na wake za watu au maduu tu yani nachukia sana

Mahondaw wa Smart911
 
Baada ya kuwa nachepuka kwa muda mrefu leo nahacha lasmi na mke wangu naomba anisamehe leo nikiwa guest tena na mke wa mtu roho imeniuma sana nikawaza inakuaje kama ni mke wangu akifanyiwa ivo nikaisi nitaumia sana afu kingine yule mke wa mtu ana mimba ambayo hana uhakika kama niya jamaa ake au ya kwangu ivo imeniuma zaidi baada ya kuwaza jamaa anaweza kulea mtoto asiye wake .nimemwambia mazoea sitaki tena japo hajakubali lkn ndo ivo nafsi inanisuta

Sent using Jamii Forums mobile app
kabla hujaondoka duniani,utavuna kwanza uliyopanda hapahapa.
 
Back
Top Bottom