Leo nimechepuka mara ya mwisho

..Mzinifu mwanaume haoi ila mzinifu mwenzie mwanamke au mshirikina...vile vile mzinifu mwanamke haolewi ila na mzinifu mwanaume au mshirikina....so ukizini ujue naye mkeo watu wanamzini sana sana sema ujagundua tu....jipange
 
Bado naendelea kusisitiza....
Hizi ID zilizo anzia May 2017 ni janga la jf
 
dah!! haya mambo bahna ukute ww unamla mkeo kistaarabu wenzio nje wanakula tigo katika michepuko huko
 
Mmmh huku sijui nimeingia kwa wakubwaa? Hebu ngoja nipite 2 kimya kimya [emoji124] [emoji124]
 
Mambo ya kxng mi ntaua mtu nikijua anakula asali yangu from songwe with love
 
Bora uhache kabla haijaleta balaa
 
Mwanaume anayejitambua huwa hachepuki.

A real man always focus on struggling for betterment of his family, and he always think about his wife, and children.

Wewe ni miongoni mwa wanaume wenye ZIPU mbovu, haifungi. Subiri Karma.
Mhhhh!!!
 
Hahaha.... I know you very well...
 
Sometimes sisi wanawake wenyewe ndo tunajiweka kihasara hasara kwa wame za watu... Wengine no way ni kukukula tyu..


Hapa kazini mtaani nimeshuhudia sana..


Mahondaw wa Smart911
Kuna wanawake hawana soni wala aibu... Yani atakufanyia vimbwanga vyote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…