Kama zimeungua zote sawa, ila kama moja ni busara kumkumbusha ile moja itakufaa. Taa ya 4,000 unalimwa 30,000.Onyo ni busara/utashi wake tu, lipa faini mkuu kabla haijabet. Yes taa inaungua mda wowote ila taa ya breki muhimu sana jombaa, sasa hivi gari itagongwa nyuma.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Ungempa hela ya kiwi angepotezea.Habari wadau ! Leo nimeandikiwa fine kisa taa ya break imeungua na taa zinaungua muda wowote , je hii kisheria imekaaje ? si alipaswa kunipa taarifa tu kama onyo au mimi ndo sijui
Ni taa moja tu kakaKama zimeungua zote sawa, ila kama moja ni busara kumkumbusha ile moja itakufaa. Taa ya 4,000 unalimwa 30,000.
Ni taa moja tu mkuu ,lakini nishabadili na fine nta clearOnyo ni busara/utashi wake tu, lipa faini mkuu kabla haijabet. Yes taa inaungua mda wowote ila taa ya breki muhimu sana jombaa, sasa hivi gari itagongwa nyuma.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Rushwa sio ujasiri wala ujanja, kua mzalendo ndg.Ungempa hela ya kiwi angepotezea.
Habari wadau ! Leo nimeandikiwa fine kisa taa ya break imeungua na taa zinaungua muda wowote , je hii kisheria imekaaje ? si alipaswa kunipa taarifa tu kama onyo au mimi ndo sijui
Rushwa adui wa hakiLabda hukujadili chenji ya kusafisha na kupolish viatu.
Kukomoana tu....Kuna nchi fulani nilibahatika kwenda nikashangaa magari mabovu kweli kweli mengine hayana hata bamba headlight etc...lakini polisi hawajishughulishi nayo...zingatia nchi hiyo ni first world(wajuvi wa magari)Habari wadau ! Leo nimeandikiwa fine kisa taa ya break imeungua na taa zinaungua muda wowote , je hii kisheria imekaaje ? si alipaswa kunipa taarifa tu kama onyo au mimi ndo sijui
Kama taa imeungua ni kosa kubwa.Habari wadau ! Leo nimeandikiwa fine kisa taa ya break imeungua na taa zinaungua muda wowote , je hii kisheria imekaaje ? si alipaswa kunipa taarifa tu kama onyo au mimi ndo sijui