Leo nimeamini Mungu yupo japo inauma

Leo nimeamini Mungu yupo japo inauma

hongera kwa kulitambua hilo,

pole kwa kuchelewa kujua,
 
BORA UKAAMINI KUWA MUNGU YUPO(EXISTING) UFIKE MBINGUNI HUMKOSE!

KULIKO KUAMINI MUNGU HAYUPO HALAFU UFIKE MBINGUNI UMKUTE!

BY GOD'S AMBASSADOR
 
Kama umekutwa HIV+ usiogope, utapata ARV na maisha yatasonga.

Ukitumia vizuri virus wanafika sehemu wanakufa. Kikubwa jiepushe na maambukiz mapya. Ni hayo tu, yaani utumie kinga kwa usahihi.
 
Acha njia mbaya kwa kuanza na kutoa hiyo avatar yako ya sasa, unatutoa udenda na kutamanisha ni dhambi pia.

325782.jpg
 
Kama umekutwa HIV+ usiogope, utapata ARV na maisha yatasonga.

Ukitumia vizuri virus wanafika sehemu wanakufa. Kikubwa jiepushe na maambukiz mapya. Ni hayo tu, yaani utumie kinga kwa usahihi.
Sina ugonjwa Mkuu.
 
Leo nilikuwa na mtihani flani japo nimefeli vibaya mno nilijiandaa vizuri na nilikuwa na confidence vizuri ila asubuhi niliota ndoto mtu ananiambia maneno haya "A God's appointed time,you will be healed without any personal effort." Japo nimefeli nashukuru kumbe Mungu ananifuatilia anzia sasa naacha njia mbaya
Hongera sana hizo ni baraka,acha kuishi maisha ya dhambi hayana faida yoyote zaidi ya majuto,take it from me...
 
Hayo maneno yananifaa mm maana nimemtafuta muda mrefu hafanyi ninachomuomba
"Atafanya kwa wakati wake, sio wakati wako"...imani ni sawa na mihadarati, you just have to believe.
 
Kuokoka maana yake ni kutubu/kugeuka na kuacha njia zilizo mbaya zisizompendeza Mungu karibu na ni maombi yangu utasimama imara maana kubadilika sio kazi rahisi its difficult but possible
 
Leo nilikuwa na mtihani flani japo nimefeli vibaya mno nilijiandaa vizuri na nilikuwa na confidence vizuri ila asubuhi niliota ndoto mtu ananiambia maneno haya "A God's appointed time,you will be healed without any personal effort." Japo nimefeli nashukuru kumbe Mungu ananifuatilia anzia sasa naacha njia mbaya
Ulikuwa unajianda kwenda kufanya mtihani upi ?
A. Kwichi kwichi ( )
B. Kwa mchepuko ( )
C. Kulala na Mme wa mtu ( )
D. Yote ni Sahihi ( )
chagua jibu lililo sahihi
 
Back
Top Bottom