Kweli bana hivi wale mbuzi wa barabara ya Mbezi beach ni wa nani? mbona
hawagongwi,
hawaibiwi,
hawaugui,
ni wasafiii,
wanajichunga wenyewe
mida km hii ya usiku wamelala kunako matuta ya barabara! kitambo sana nimewaona hawa mbuzi jamani kulikoni?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.