harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,918
Cc demissJaribu kumgonga demu wa mshana utuletee mrejesho bro
Cc demissJaribu kumgonga demu wa mshana utuletee mrejesho bro
Kuna jamaa kitaa aliiba mikeka na spika za msikiti, sekhe alitangaza wiki nzima na biti kali. Siku hiyo waumin wote wakampigia kitabu jamaa ila dua la kuku halimpati mwewe.
Huyo mwewe ndiyo kaiba spika?
Yule mwana lile dua halikumdhulu aseeMkuu dua sio lazima uone matokeo yake muda huu na pia inaweza ikakuadhiri taratibu sana. Ama kuharibikiwa na mambo yako bila ya wewe mwenyewe kujua.
Yule mwana lile dua halikumdhulu asee
.Kwaiyooo? ???
.Kuna jamaa kitaa aliiba mikeka na spika za msikiti, sekhe alitangaza wiki nzima na biti kali. Siku hiyo waumin wote wakampigia kitabu jamaa ila dua la kuku halimpati mwewe.