DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,357
- 83,335
Yaani Leo nimeamini uchawi haupo hii ni baada ya Jamaa Flani ...kumuibia Mganga hela zake zote nakumuacha analia kama Mtoto....Yaani mganga alimwambia wazi kuwa usipoludisha hela zangu automaliza wiki ...hii bila kufa....lakin wiki nzima Imeisha na jamaa ajafa.
Sasa Leo hii nimekwenda kumtembelea sangoma wameniambia ...sangoma amefariki usiku wa Leo ...wakati Jamaa aliyemwibia bado ajafa.
Kitu Ambacho nimekigundua ni kuwa uchawi haupo isipokuwa kuna Laana ....mtu akikulaani unaweza kupata shida kubwa kwenye Maisha Yako.