moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,928
😅😅😅😅😅
Kuna binti wa chuo nimemfuatilia kwa muda mrefu wa miezi mitatu hivi. Kwa bahati nzuri leo nikakutana naye amekuja kusalimia kwao, nikamuomba kama utani hivi tukaongee kidogo gesti ya jirani, akanikubalia kirahisi tu.
Tukaenda naye gesti, aisee yaani nilikuwa na usongo kishenzi. Ile tumefika, tumevua nguo jamaa yangu akagoma kusimama. Yaani nimehangaika mpaka binti akachoka kusubiri.
Nimejisikia vibaya mpaka aibu. Binti wa watu akavaa nguo zake akaondoka, nimebaki na aibu tu!
Ukiwa kwenye hali hyo ndo kapombe huwa kanahitajika sasa ili kakuweke sawaUlikuwa na hofu mzeee.
Ulivyokubaliwa kimasihara, ukaona naenda kupewe gonjwa nin?? Au ni malaya nin?? Mmmh negative feelings zimekimbizana na kuteka makao makuuu ya akili na hisia,... Lazima Jogooo asianze kuwika kaona bado giza jingi
Ndio uanaume lakini kumbukumbu wewe si wa Kwanza, Jogoo kushindwa kutamba alfajiri.Kuna binti wa chuo nimemfuatilia kwa muda mrefu wa miezi mitatu hivi. Kwa bahati nzuri leo nikakutana naye amekuja kusalimia kwao, nikamuomba kama utani hivi tukaongee kidogo gesti ya jirani, akanikubalia kirahisi tu.
Tukaenda naye gesti, aisee yaani nilikuwa na usongo kishenzi. Ile tumefika, tumevua nguo jamaa yangu akagoma kusimama. Yaani nimehangaika mpaka binti akachoka kusubiri.
Nimejisikia vibaya mpaka aibu. Binti wa watu akavaa nguo zake akaondoka, nimebaki na aibu tu!
Mkuu ni aibu kubwa mbele ya bintiNdio uanaume lakini kumbukumbu wewe si wa Kwanza, Jogoo kushindwa kutamba alfajiri.
Kumbe tupo wengi tuliopatwa na aibu hii😂😂😂😂Hakika huwa ni Aibu kubwa.... Pole mzee...Nishakutana na hali hiyo
Hataamini ila huu ni ukweli.
Ni moja Kati ya kipindi kigumu ambacho hupitia baadhi ya wanaume kwa sababu maalum lakini lisikufanye ukajishusha au kujiona hauna thamani la msingi tafuta njia ambazo zitakufanya kurecover.Mkuu ni aibu kubwa mbele ya binti
CCM na watu wasiojulikana
Noma kweliHauoni aibu
😄😄😄😅😂Mlikutana wote hamjui cha kufanya..lol..wewe jogoo kakataa kuwika na msichana ni mgeni hajui ramani..lol
Tafiti zilikwishafanyika, wanaume wote wazima wamewahi kufanya punyeto angalao Mara moja katika maisha yao, labda kama wewe sio mzima
😂😂😂😂😂Umeanza matusi😂😂😂😂😂Ndio hicho kilichokupelekea hadi ukawa gasho
Sent using IPhone X