MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,102
- Thread starter
- #21
Mtoto nilikuwa namtamani siku nyingi mkuu Basi tu, naona umri umeenda au pombeUlikuwa na hofu mzeee.
Ulivyokubaliwa kimasihara, ukaona naenda kupewe gonjwa nin?? Au ni malaya nin?? Mmmh negative feelings zimekimbizana na kuteka makao makuuu ya akili na hisia,... Lazima Jogooo asianze kuwika kaona bado giza jingi

