Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 15,894
- 36,298
Mbona me nikipima mwenyewe Robo saa huwa haifiki!!mkuu kipimo ni robo saa kusubiri ww cha dk 5 ulikipata wapi?
Ndio robo saa atleast ndio reaction ya antigen na antibody inaweza kukamilikadk 15![]()
Kwanza ningependa kuwapa hongera watu wote walioamua kwenda kupima bila kujali majibu yalikuwaje. Kwa kweli kitendo cha kuamua kwenda kupima ni ujasiri wa hali. Mimi sikuwahi kuupata ujasiri huo mpaka mama alipotishia kuwa kama tusingeende kupima basi angesitisha huduma.
Sikua na jinsi ya kufanya, siku mbili hizi nimekuwa nawaza sana. Sasa leo nikasema ngoja nijipeleke mwenyewe kwanza. Ili nijue afya yangu kabla mamaa hajanipeleka kwa nguvu atakapogomea kutoa huduma.
Nikaenda hospitali. Nilipofika nikamwambia yule mhudumu. Nimekuja kupima kwa utashi na hiyari yangu mwenyewe. Najua kuna majibu ya aina mbili. Sitaki maelezo yoyote mengine naomba nipime. Jamaa akanielewa akanitoba akatoa damu. Sio siri nilitetemeka wakati nasubiri majibu. Nikasikia harufu ya kikwapa wakati asubuhi nilipaka deodorant. Dakika tano hizi nilikuwa kwenye hali ngumu sana.
Niliwaza mademu wote niliowahi kukutana nao. Baadae nikajipa moyo mbona kuna watu wanaishi na maambukizi. Mimi sitakuwa wa kwanza. Mhudumu akanistua. "Huko tayari kwa majibu yako". Hapo ndipo nilisikia harufu zaidi ya kikwapa. Midomo ikakauka. Nikajikamua. Nikamjibu "Ndio maana nimekuja kupima".
"Hauna HIV. HAUNA UKIMWI". Nikamuangalia. Nikashusha pumzi kwa nguvu. Nikamjibu. Asante sana. Nimetoka hapo nikajipongeza kwa Mirinda ya baridiiii.
Sasa nikirudi home. Nitamwambia wife, achague twende tupime wapi. Aseme mwenyewe. Nitajifanya sijapima. I hope na yeye atakuwa poa. Pengine amekwisha pima ndio maana kaanza figisu figusu. Nitawapa mrejesho.
Mbona me nikipima mwenyewe Robo saa huu haifiki!!
Dawa zipo mkuu sema haziponyeshi kabisa ila zinaleta ahueni sawa na kupona.Unaendaje kupimwa ukimwi wakati Hanna dawa
Na sasa hivi watu wanaotumia dawa wanaishi muda mrefu karibia na wale wasiokuwa na maambukiziDawa zipo mkuu sema haziponyeshi kabisa ila zinaleta ahueni sawa na kupona.
Kabisa mkuu UKIMWI sasa hivi ni gonjwa sugu kama moyo, kisukari na pumu. Wote lazima watumie dawa kila siku.Na sasa hivi watu wanaotumia dawa wanaishi muda mrefu karibia na wale wasiokuwa na maambukizi
Tena hauna masharti mengi kama hayo magonjwa mengineKabisa mkuu UKIMWI sasa hivi ni gonjwa sugu kama moyo, kisukari na pumu. Wote lazima watumie dawa kila siku.
Hongera sanaHakuna kitu ninachopenda kama kupima HIV, yaan kula nikiumwa nikienda hospital lazima nipime HIV na wingi wadamu,
Najiamini 100% niwe na wacwac wann
Halafu mtu unakuwa huru sanaHakuna kitu ninachopenda kama kupima HIV, yaan kula nikiumwa nikienda hospital lazima nipime HIV na wingi wadamu,
Najiamini 100% niwe na wacwac wann
Kwahiyo wewe na Yesu tu au unamanisha nini unajiamini 100% Mama Vivian!!Hakuna kitu ninachopenda kama kupima HIV, yaan kula nikiumwa nikienda hospital lazima nipime HIV na wingi wadamu,
Najiamini 100% niwe na wacwac wann
Kama unajiamini unapima kutafuta nini, kupima tafsiri yake ni kuondoa uatata juu ya whether you are +Veor -ve HIV status,Hakuna kitu ninachopenda kama kupima HIV, yaani kula nikiumwa nikienda hospital lazima nipime HIV na wingi wa damu,
Najiamini 100% niwe na wacwac wann
kama unajiamini unapima kutafuta nini, kupima tafsiri yake ni kuondoa uatata juu ya whether you are +Veor -ve HIV status,
Usiseme unajiamini, kuna siku utapata suprise unayoitafuta.
Kuna kitu kinaitwa window period. Mtu anakuwa na virusi ana uwezo wa kuambukiza lakini bado maambukizi hayaonekani katika vipimo isipokuwa PCR. Jihadhari sanaWajameni ninapenda kutumia Sana hivi ata kupima mizigo ya dharura ili ata rubber ikipasuka kusiwe na makando kando mengi je vina usahihi uliyo fikia 60%
View attachment 963269
HATA NINGEKUA MIMI NDIO NIMEKUPIMA lazima ningekuambia HUNA UKIMWI.Ya nini unifie ofisini kwangu kibwege kwa mi rayvdiamond yako!!!Kwanza ningependa kuwapa hongera watu wote walioamua kwenda kupima bila kujali majibu yalikuwaje. Kwa kweli kitendo cha kuamua kwenda kupima ni ujasiri wa hali. Mimi sikuwahi kuupata ujasiri huo mpaka mama alipotishia kuwa kama tusingeende kupima basi angesitisha huduma.
Sikua na jinsi ya kufanya, siku mbili hizi nimekuwa nawaza sana. Sasa leo nikasema ngoja nijipeleke mwenyewe kwanza. Ili nijue afya yangu kabla mamaa hajanipeleka kwa nguvu atakapogomea kutoa huduma.
Nikaenda hospitali. Nilipofika nikamwambia yule mhudumu. Nimekuja kupima kwa utashi na hiyari yangu mwenyewe. Najua kuna majibu ya aina mbili. Sitaki maelezo yoyote mengine naomba nipime. Jamaa akanielewa akanitoba akatoa damu. Sio siri nilitetemeka wakati nasubiri majibu. Nikasikia harufu ya kikwapa wakati asubuhi nilipaka deodorant. Dakika tano hizi nilikuwa kwenye hali ngumu sana.
Niliwaza mademu wote niliowahi kukutana nao. Baadae nikajipa moyo mbona kuna watu wanaishi na maambukizi. Mimi sitakuwa wa kwanza. Mhudumu akanistua. "Huko tayari kwa majibu yako". Hapo ndipo nilisikia harufu zaidi ya kikwapa. Midomo ikakauka. Nikajikamua. Nikamjibu "Ndio maana nimekuja kupima".
"Hauna HIV. HAUNA UKIMWI". Nikamuangalia. Nikashusha pumzi kwa nguvu. Nikamjibu. Asante sana. Nimetoka hapo nikajipongeza kwa Mirinda ya baridiiii.
Sasa nikirudi home. Nitamwambia wife, achague twende tupime wapi. Aseme mwenyewe. Nitajifanya sijapima. I hope na yeye atakuwa poa. Pengine amekwisha pima ndio maana kaanza figisu figusu. Nitawapa mrejesho.
Unajiamini kisha unalima kila mara. Does it make sense?Hakuna kitu ninachopenda kama kupima HIV, yaan kula nikiumwa nikienda hospital lazima nipime HIV na wingi wadamu,
Najiamini 100% niwe na wacwac wann