Leo nilivyokwenda kupima UKIMWI!

Leo nilivyokwenda kupima UKIMWI!

Kasi ya huyu mtoa mada inanikumbusha bwana mmoja aliitwa Deo nalimi kisandu, alikuwa moto sana hadi ikafika hatua akajiita mchungaji ila kwasasa amekuwa kimya sana!huyu mtoa mada id yake inaonesha ni mgeni na threads zake nyingi zinahusu mambo yake binafsi kama alivyokuwa bwana Deo.
 
Kasi ya huyu mtoa mada inanikumbusha bwana mmoja aliitwa Deo nalimi kisandu,alikuw moto sana hadi ikafika hatua akajiita mchungaji ila kwasasa amekuw kimya sana!huyu mtoa mada id yake inaonesha ni mgeni na threads zake nyingi zinahusu mambo yake binafsi kama alivyokuw bwana Deo.
Bahati nzuri Deo Kisandu simjui. Ni kweli ni mgeni hapa JF. Lakini sio mgeni wa mitandao. Najua hunijui. Ninamiliki website binafsi na pages kadhaa kwenye mitandao yenye followers zaidi ya elfu 10. Kuandika ni sehemu ya maisha yangu. Napenda kuandika. Hapa JF nimeamua kuja ironically kidogo.
 
Kasi ya huyu mtoa mada inanikumbusha bwana mmoja aliitwa Deo nalimi kisandu,alikuw moto sana hadi ikafika hatua akajiita mchungaji ila kwasasa amekuw kimya sana!huyu mtoa mada id yake inaonesha ni mgeni na threads zake nyingi zinahusu mambo yake binafsi kama alivyokuw bwana Deo.
Nadhani kwa sasa huyu jamaa amepata ajira hapa IPP MEDIA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom