ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 5,307
- 6,085
Kuna rafiki yangu mmoja juzi asubihi aliniaga akanimbia naenda kumjulia baba WA rafiki yangu amelazwa hospital naenda kumjulia hali kumbe alikwenda kupima aliporudi ndio akanieleza kwamba nimeenda kupima Hiv lakINI mpka nyusi alinambia zikimtetemeka kwa woga aliyokuwa nao.