Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,670
- 22,261
Serikali inabidi ijitafakari na kurudisha pesa ilizochota NSSF kwani ni kinyume na lengo la kuanzishwa mfumo wa pensheni. Wazee wastaafu ambao wangelipwa tarehe 24 / 05 / 2019 mpaka sasa hawajalipwa na hawajui lini watalipwa, wamebaki mguu na njia kwenda benki kila siku, baadhi ya wazee hawa umri wao ni mkubwa sana hawawezi kufanya kazi yoyote.