Leo ni siku yangu ya kuzaliwa...

Leo ni siku yangu ya kuzaliwa...

Happy Birthday Mkuu, usiwe unasahau siku yako muhimu banaaaa..lol!
 
Many more years kabanga.

Mwenyezi Mungu aendelee kuutetea uhai wako, siku zote za maisha yako.
Uwepo wako uwe ni baraka pia hata kwa watu wengine.

Nakutakia maisha mema.
Bless!
 
Last edited by a moderator:
Many more years kabanga.

Mwenyezi Mungu aendelee kuutetea uhai wako, siku zote za maisha yako.
Uwepo wako uwe ni baraka pia hata kwa watu wengine.

Nakutakia maisha mema.
Bless!

aamini mama, mungu atawezesha kila kitu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom