Duh... jamani muda huu ndio nakumbuka kuwa leo ni siku yangu ya kuzaliwa....
Namshukuru mungu kwa kunijaalia afya njema na umri huu nilifikia leo.
Duh... jamani muda huu ndio nakumbuka kuwa leo ni siku yangu ya kuzaliwa....
Namshukuru mungu kwa kunijaalia afya njema na umri huu nilifikia leo.
haya mwenzangu uliyenunuliwa, mimi nimejua juzi kuwa nimezaliwa, lakini muda wote nilikuwa najua nimeokotwa baharini kule ocean roadmimi nilinunuliwa dukani...hivyo ndivyo kaka yangu aliambiwa na mama...hongera weye uliyezaliwa!!!