leo ni siku ya wajinga lakini hii sio fair.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

leo ni siku ya wajinga lakini hii sio fair....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by audacious, Apr 1, 2012.

 1. a

  audacious Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 25
  wakuu haya ni ya kweli yametokea leo asubuhi,
  kuna rafiki yangu mmoja anampenda sana msichana mmoja hivi..na amekuwa akimueleza lakini yule mschana amekuwa akimkatalia na kusisitiza eti waendelee kuwa marafiki,wamekuwa marafiki kwa mwaka mmoja sasa.sasa leo asubihi mida ya saa3 akanipigia cmu kunieleza kilichomkuta kwakweli alikuwa amenyongonyea sana. nikamuliza tataizo nini? akasema leo alipoamka tu alikuta sms kutoka kwa huyo msichana akimueleza kuwa anampenda sana,waka chart kama dk10 then akashangaa anpigiwa cmu na huyo msichana anamwambia..john leo ni cku ya wajinga so nilikuwa nakutania...jamaa imemuuma sana anasema kamuharibia cku yake.so alinipigia cmu kuniomba ushauri kama alichokifanya huyu demu ni sahii au sio na achukue hatua gani juu ya hili swala coz limemuumiza sana.tusaidiane ktk ushauri wana jf.
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Nashauri ikifika saa sita, thread za kipuuzi zipigwe stop mara moja!! Au ziunganishwe zote!!
   
 3. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,848
  Likes Received: 627
  Trophy Points: 280
  Dawa ni kutoamini au kutofwatilia threads zozote leo hadi siku iishe!
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Ana umri gani huyo rafiki yako?
   
 5. a

  audacious Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 25
  umri wake ni 28
   
 6. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mademu wote hawa kwa nini ababaike na huyo? Mwambie aache ufala!
   
 7. a

  audacious Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 25
  wa-ukenyege kwani hii thread ni ya kipuuzi,mbona cjakusoma
   
 8. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Lakini hii ipo tofauti kidogo.
   
 9. a

  audacious Member

  #9
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 25
  umri wake ni 28 senetot
   
 10. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Soko huria siku hizi, kwa nini anaishi kwa mastress hivyo. Mbona supply ni kubwa sana kuliko demand
   
 11. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naye amwambie huyu dem kuwa alikua anamtania hata hivyo hamzimiki wala nini na alikua anafikiria ni jinsi gani anaeza mpiga kibuti"
   
 12. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hivi kumbe bado kuna watu wanaumizwa na mademu wanaowakataa,!!mi nlishaachaga loooooooooongi
   
 13. K

  Konya JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 920
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  huyo jamaa nae life span zenyewe zinasheki ongeza na mastress tena mmh waendelee kuwa marafiki tu bana au kama vp amkaushie
   
 14. a

  audacious Member

  #14
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 25
  hahahaha..sasa hapo si atakuwa ameharibu kabisa sababu bado anampenda.
   
 15. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Ebo! Ushauri wa nini tena ilhali mlimbwende keshamuweka jamaa
  kwenye daraja la wajinga wenye siku yao?
   
Loading...